Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

madudy

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
100
Reaction score
6
kwa wale form six uliza any question kuhusu kujaza ud na probability ya kuchaguliwa kulingana na ufauli huu mpya
 
Ili tuwe na imani na usomi wako
rudia ulichoandika ili tuje na yetu.
 
Ok
kwa mwenye
GS ......................C
HISTORY ..............B+
GEOGR..................B
ENGLISH ...............B+
na hapendi kusoma chuo chochote zaidi ya udsm, aaplai nini?
........... msaada please!
 
Mkuu naskia UDSM ukiwa na div-II sahau kabisa kwenda mpaka uwe na div-I tena kali?
 
Harudi tena huyo, ni dizaini fulani ya watu wanaotaka kuwatoa mpunga maForm Six waliomaliza
 
dogo kapata dv2 gs D,geo B, chem B,bio B ,bam C..anataka kupga bsc with geology udsm hv atapata kweli?
 
Deateal??? Big results now

Hii nchi wameiua jamani kielimu uyu nae ni form six anatakiwa akasome bachela tena ndio mjanja wa wenzake anawapa info za chuo tumekwisha hao wenzake watakua wanajua ata kusoma kweli???

Kawambwa nini hiki unafanya?
 
swali langu ndilo gumu luliko yote....nakumbuka kwa utaratibu wa zamain ilikuwa rahisi lakini kwa sasa sijui! je mtu alie maliza six 2012 ECA, E=S
C=S
A=C
DIV lll 15
then akasoma diploma ya account na
akapata GPA us 3.8! chuo alicho soma diploma ni TIA!..olevel alipata C 3, na D zote hakuwa na F.
je anaweza kusoma account UDSM?
 
je kama mtu kapata div iii ya 13, Physics D, Chemistry D, Biology B, BAM B ana weza ingia chuo kikuu kweli? alikuwa anachukuwa PCB. Na Course gani inamfaa?
 
Hebu rudia tena kusoma ulichopost kwanza na ufanye marekebisho kabla taswira yako na ya UDSM kwa ujumla haijachafuka zaidi

nawalewa sana wanajamii forum anything ni kwa reason dat y nimeandika ile hata wewe ambae huna shidaaa upate cha kusemaa
 
Nilimaliza mwaka jana P.C.M nkapata BSS iyo B ya math, nimerisit mwaka huu physics nkapata C, civil engineering ntapata?

kwa B ya mwaka jana cut point inakuwa 4 na C ya time hiii ni 2 kwa hiyo una 6 na kama ds una S utakuwa na 0.5 kwa hiyo una 6.5 na mwaka jana walichaguliwa watu 44 katika point hiyo ambao wapo pale from Tz so unaweza ukajaza civil engineering coz tm hiii matokeo yapo juu lakin cut point zile zile
 
Back
Top Bottom