Formation ya Simba kulingana na Mechi kwa sasa(Pablo ana option ya kuchenza aina tofauti tofauti ya mpira)

Formation ya Simba kulingana na Mechi kwa sasa(Pablo ana option ya kuchenza aina tofauti tofauti ya mpira)

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Simba kwa sasa ni timu kubwa sana ukanda huu. Kikosi cha simba ni kipana. Kila namba ina watu wasiopungua wawili. Ninaanza kuleta kikosi na formation yake kulingana na uhitaji.
Tunaanza na 4-2-3-1. Tukiwa tunacheza kwa namna ya kawaida.
Screenshot_20220114-174614.png
 
Hapa tunacheza way kwenye kombe la Shirikisho Africa. 4-3-2-1
Screenshot_20220114-175425.png
 
Timu za mikoani tunazifungia booster kama hii. Watu watatapika nyongo.
4-1-2-1-2
Screenshot_20220114-180337.png
 
Hapa tunajenga Ukuta wa Berlin. Hatuche na kima shambani. Hakuna kusogea kwa Manula wala kufika 18.
Mugalu anabaki mbele kusumbua beki.
Hapa tumeshinda CAF na tupo top kwenye group tunahitaji sale tu.
Hii ni 4-5-1
Screenshot_20220114-180934.png
 
Iyo 4-3-3 style ya mama mkanye mwanao nailipia 100k.iyo formation na hao wachezaji waliomo ni kama injini zote zimewashwa speed ya mwanga.
Half time mtu keshakula 3-0.
 
Njooni mbeya wiki ijayo tuwafunze adabu hizo formation zenu zitabaki kwenye makaratasi tu ya kocha wenu
 
Kakolanya na Bocco wanakuwa makocha wasaidizi
 
Back
Top Bottom