Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kwa hii Uto FC wanalambwa 6-0 kama walivyofanya akina Omar Mahadhi, Gumbo, Kibaden, Jumanne Hassan, etc.Hii formation inaitwa mama mkanye mwanao. Hapa mtu anakula sita kwenda mbele. 4-3-3
View attachment 2081106
We isikie simba kwenye magazeti na mitandao tuNjooni mbeya wiki ijayo tuwafunze adabu hizo formation zenu zitabaki kwenye makaratasi tu ya kocha wenu
Dπππ:,,Julio Alberto Pereara Jumuhuri Kiwelu.We isikie simba kwenye magazeti na mitandao tu
View attachment 2081262
, ukikutana nayo utakuwa kama Julio.