Former CEO Barbara yuko wapi?

Vikintu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2021
Posts
2,051
Reaction score
3,162
Hakika huyu alikuwa CEO wa shoka. Enzi zake Simba kulikuwa na vibe sana na mafanikio tele. CEO wa sasa hata jina lake halijulikani.

Watu kama Gentamycine and Co wamemwandama dada wa watu mpaka akaamua kubwaga many anga. Sasa waje watueleze wamefaidika nini kwa Barbara kuondoka Simba?
 
Labda salary yake wanapewa wao..
 
Halafu ukishajua alipo. What next!! Nafsi yako itakuwa imefarijika?
 
Kabla ya kujihusisha na Simba hakuwa akijulikana, acha aendelee kudeal na issue zake...
 
Alipigwa Sana majungu kisa ni kuzuia mianya ya upigaji ya "wazee wa timu"

Huyu ni mmoja wa watu waliofanya soka la Tanzania lipae juu kirank, na kuheshimika duniani kwani ana exposure ya Hali ya juu ya kimataifa na hata Alisha Anza kuchaguliwa kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa CAF.
 
Yani simba imekuwa timu ya mchangani. Uongozi wa simba unapenda sikiliza mashabiki wakati mashabiki hata ushinde mechi 1000 ukapoteza moja watalalama
 
Acha ubwabwa

Kwani ulimjua kabla ya kuja Simba?

She is doing her good work

Tupunguze kuwashwawashwa na mambo ya watu
 
Cc Gentamycine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…