KINGDOM MONERA
Member
- Apr 17, 2023
- 78
- 54
Barbra hovyo palikuwa hapana CEO paleAlipigwa Sana majungu kisa ni kuzuia mianya ya upigaji ya "wazee wa timu"
Huyu ni mmoja wa watu waliofanya soka la Tanzania lipae juu kirank, na kuheshimika duniani kwani ana exposure ya Hali ya juu ya kimataifa na hata Alisha Anza kuchaguliwa kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa CAF.