Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Naanda US$ 1M ili nipate information kutoka TISS na kuanza mikakati ya kumuharibia fudenge,sijui watakubali hela hiyo!
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaMkuu watu wanauza nchi kwa Flattery and Sex sembuse USD 25,000. Tena nchi masikini kama zetu hizi ndiyo, unaogopa hata kufikiri.
AiseeHuyu alishastaafu kazi cia mwaka 2007 na akarudi hong kong kufanya shughuli zake binafsi. Akiwa huko akafuatwa na intelligence officers wa kichina na kumuahidi watampa pesa ya kutosha awaibie siri ya cia operations nchini china.
Hii ilishtukiwa mwaka 2012 baada ya informants wengi wa cia kuuwawa wakiwa china tena wengine mchana kweupe kwa kupigwa risasi ndio fbi wakaanza uchunguzi, mwisho wakafanya kitu kinaitwa ikawa zeroed kwa huyu mshikaji, wakaanza kumchunguza kuanzia hongkong, virginia, siku moja wakavamia chumba chake cha hotel bila yeye kujua, wakakagua begi lake na kukuta ana note book ya majina ya watu waliokua anafanya nao kazi kabla hajaacha kazi cia, majina yao halisi na contacts zao na locatio, usb na vitu kadhaa ambavyo aliposaafu hakuvikabidhi cia, fbi walimhoji kuhusu hizo mambo akakataa kua hana information yoyote.
Mbaya zaidi akawa anakutana na washkaji zake wa zamani wa cia ambao bado wanafanya kazi huku akijua alishahongwa na wachinana hakuwaambia chochote.
Huyo alitakiwa kunyongwa, alisaini plea deal asamehewe kifo kwa kifungo kirefu kwa kukiuka kitu kinaitwa life time non disclosure agreements alizosaini mwaka 1994 alipoajiriwa cia .
Wewe ndugu yangu ulijifukia wapi ??Hahaa
Wewe ndugu yangu ulijifukia wapi ??
Wachina wapo wengi tuu wanauza match,tatizo mfumo wa Serikali yao hairuhusu kutangaza habari mbaya ni kama alivyo Jiwe hapa kwetu.Daah basi kuna loop holes nyingi sana kwa CIA kwa hali hii hawa China wanaopenda mtelezo watafaidika sana na Siri nyingi za US ambazo zimewafanya kufika hapo walipo, kuna haja ya US kukazia kwenye uzalendo kwa maagent wake kama kwa wenzao China Sijawai kusikia case kama hizi zimetokea kwa china
Hata Kama Unataka Kuupindisha UkwelWachina wapo wengi tuu wanauza match,tatizo mfumo wa Serikali yao hairuhusu kutangaza habari mbaya ni kama alivyo Jiwe hapa kwetu.