Former Pm - Majaliwa K. Majaliwa (Watanganyika tutakukumbuka)

Former Pm - Majaliwa K. Majaliwa (Watanganyika tutakukumbuka)

D

DeletedMember281674

Guest
Kwa hii Press aliyofanya huyu aliyekupokea kijiti.

Hakika wananchi watanganyika TUTAKUKUMBUKA.

MUNGU akupe Maisha marefu Mzee wangu.

Chao.
 
Kwa lipi? Alikuwa mweupe tuu kama mwenzie. Kwa kuongezea ni kwamba yeye ndio alikuwepo madarakana wakati maelfu ya watu wanauwawa kwa risasi. Mpuuzi tuu yule.
 
Back
Top Bottom