D DeletedMember281674 Guest Nov 25, 2025 #1 Kwa hii Press aliyofanya huyu aliyekupokea kijiti. Hakika wananchi watanganyika TUTAKUKUMBUKA. MUNGU akupe Maisha marefu Mzee wangu. Chao.
Kwa hii Press aliyofanya huyu aliyekupokea kijiti. Hakika wananchi watanganyika TUTAKUKUMBUKA. MUNGU akupe Maisha marefu Mzee wangu. Chao.
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 Nov 26, 2025 #2 Kwa lipi? Alikuwa mweupe tuu kama mwenzie. Kwa kuongezea ni kwamba yeye ndio alikuwepo madarakana wakati maelfu ya watu wanauwawa kwa risasi. Mpuuzi tuu yule.
Kwa lipi? Alikuwa mweupe tuu kama mwenzie. Kwa kuongezea ni kwamba yeye ndio alikuwepo madarakana wakati maelfu ya watu wanauwawa kwa risasi. Mpuuzi tuu yule.