Former Safaricom Employee Now Vice President at Wikipedia

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
4,349
Reaction score
3,745

As Tanzania declines to issue work permits to Kenyans looking to come save their struggling companies, other global companies recognize talent when they see it.

Last year, Wikimedia foundation, the people behind Wikipedia, appointed Safaricom's Head of Corporate Communications, Kui Kinyanjui, to be their Vice President of Communications.
She had previously also worked for Business Daily and Ogilvy PR.

Kui now heads the department in charge of all their media presence and coverage, and is more often the face of Wikipedia on major TV and media interviews, like this on with CBS on Sunday.
(Wikipedia is the 5th most visited website in the world after Google, Facebook, YouTube and Baidu)

Remember even Elon Musk had employed a Kenyan as his Director of Engineering at Tesla, before he quit this month to start his own startup.
So, the question is, when will our neighbors open their eyes?

 
This thread is not about a Kenyan who got employed at Wikipedia. Ni kichaka tu cha kuitupia Tanzania vijembe. Angalia tu vile umeanza na kumaliza thread yako.

Smh

Congratulations. Umeelewa.
This is Jamiiforums not JamiiForums.com. Watanzania ndio wengi hapa.
 
So?
 
Congratulations. Umeelewa.
This is Jamiiforums not *********. Watanzania ndio wengi hapa.
Hahahaha, inaonekana inawauma sana Tanzania tukiamua vile tunavyopenda, ninyi mumeanzisha kampeni ya kupinga mziki wa Tanzania usichezwe katika media zenu kwasababu sio mziki wa Kenya, hiyo mnadhani ni sawa. Kila nchi ni huru inayo haki kamili ya kupanga na kuchagua inalopenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wacha kelele bila kujua unachoongea.
Wasanii wa Kenya (ata sio fans wa wakenya) wamekuwa wakilia kwamba maDJ na radio hazichezi local music. Ilhali wanacheza nyimbo za nje sana, (sio Tanzania pekee)... Nigeria, Jamaica na hata USA.

Many Kenyans care less which music is played, as long as it is good music.
Kwanza hawa Wasafi 80% revenue yao hutoka Kenya.
 
Si ubao wa matangazo wa huo upuuzi wenu!

Huo ni ujinga.
Ni kama Facebook kuzuia jina Twitter.
Ati mtu akiandika jina Twitter kwenye Facebook, inatokea ******

Kweli watanzania mna shida. Hii policy yenu ya isolation ndio imefanya mkae maskini miaka hio yote.
 

Ahaaa haaa haaa
demokrasia iko wapi SASA ikiwa burudani tu wanazuiliwa na wenye mamlaka.
sisi vituo vyetu vya habari vinacheza muziki KUTOKA kote kote duniani.
 
Tanzania ya viwanda hoiye... 'laughs hysterically
 
Top brains, na bado yaani nchi hii inachomoa vichwa vya kuongoza dunia, maana huwa tunakwenda mchakamchaka. Mkenya akiajiriwa Tanzania huwa anahisi ni kama yuko likizo, kule ni mdebwedo kwa kila mtu, hamna umakini wa kuzingatia muda na uzalishaji.
Kwenye misamiati yao hawana maneno kama milestones, deadlines, punctuality, self appraisal, productivity n.k.
Akija Mkenya anazimwa mapema na kuambiwa hapa sio Kenya, mambo yanaendeshwa Kibongo. Makampuni ya Kitanzania yanahangaika sana kuwatafutia Wakenya vibali.
Hebu fikiria kampuni ya Mtanzania mzawa tena mzalendo wa nchi yake lakini anahangaika kutafuta kibali kwa ajili ya Mkenya au Mhindi, aingie gharama ya usafiri wa huyo Mkenya, gharama za hoteli na mambo mengine mengi tu, ilhali hapo Dar anaweza akamchukua Mtanzania yeyote na asiingie hizo gharama.

Wakenya tuendelee kuchapa kazi, uchumi wetu unaongoza ukanda wote huu sio kwa ajili ya madini ila kwa uchapa kazi wetu, non-mineral based economy.
 
Huo ni ujinga.
Ni kama Facebook kuzuia jina Twitter.
Ati mtu akiandika jina Twitter kwenye Facebook, inatokea ******

Kweli watanzania mna shida. Hii policy yenu ya isolation ndio imefanya mkae maskini miaka hio yote.

Ahaaa haaa haaa
sasa na nyie hiyo campaign ya kuzuia bongo flavour kupigwa kwenye radio stations za Kenya tuiiteje?
 
Huo ni ujinga.
Ni kama Facebook kuzuia jina Twitter.
Ati mtu akiandika jina Twitter kwenye Facebook, inatokea ******

Kweli watanzania mna shida. Hii policy yenu ya isolation ndio imefanya mkae maskini miaka hio yote.

Sio hiyo tu hata ukishare link yako ya uchochoroni unakatwa ban.

Hii ni platform kubwa,ukiacha watu wakawa huru tu utanufaisha watu bila jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…