joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Acha kulialia, tunafuatilia sana huo mjadala wa "Play KenyanMusic", sana sana unalenga Naija na Tanzanian music, yote hii mnaitaja kuwa ni mziki toka nje ambayo inachezwa sana kuliko Kenyan music.Wacha kelele bila kujua unachoongea.
Wasanii wa Kenya (ata sio fans wa wakenya) wamekuwa wakilia kwamba maDJ na radio hazichezi local music. Ilhali wanacheza nyimbo za nje sana, (sio Tanzania pekee)... Nigeria, Jamaica na hata USA.
Many Kenyans care less which music is played, as long as it is good music.
Kwanza hawa Wasafi 80% revenue yao hutoka Kenya.
Like wise wakenya wengi huwa wanakuja Tanzania kufanya kazi na makampuni mengi yanawapa nafasi kutokana na advantage ya lugha. Kama ambavyo mnadhani ni muhimu kwa media zenu kupunguza kucheza Bongo na Nija music ili kulinda Kenya music, na sisi tunadhani ni muhimu kwa serikali yetu kulinda ajira za watanzania. In short, Kenya is for Kenyans, and Tanzania for Tanzanians, nothing can change this.
Sent using Jamii Forums mobile app