Former Safaricom Employee Now Vice President at Wikipedia


baada ya kutandikwa na alshabab vilivyo. wakaenda bongo ku borrow a leaf or two from a seasoned elder brother in security issues.





tunawapenda sana. hivyo tutawapa siri za kujilinda.
 
A Kenyan at the helm of a telecom giant posed strategic and national security concerns.
 
This is real true bro, yani hawa majamaa ni wabaguzi sana, yan kwa afrika masharik wanajiona kama wao ndo USA ivi kumbe hamna kitu, oky huyo kaajila so what does yr country get to improve the living of poor kenyan's, ivi hamkomi tuu, mlijitamba sana pale obama alipowin urais marekani ivi mnanini mlichopata mbaka leo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona huu uzi ni wa TAARABU na MIPASHO tu...Nyimbo zetu kwenye media zenu hamtaki zipigwe had mnaanzisha vi-hashtag vya kipuuzi..mbona hamtaki kukubali vipaji vya wasanii wetu? then nyinyi mnataka tuwaajiri kwenye kampuni zetu WHY?..Acheni UNAFIKI,Pambaneni na hali zenu..

#Muungwana_John
 

Tanzania hamuhitaji yeyote. Umaskini wenu ni wenu pekee.
Ata SADC Tanzania ndio karibu kushikilia mkia kwenye average income ya wananchi.
 

Dikteta Pombe kakuharibu akili.
Huto tujikampuni twenu, Wakenya ndio tu wanaweza komboa.

Bila shaka, kwenye list ya top 100 kampuni za East Africa, Kenya iko na 80%.
Uzembe wa huko bongolala hauwawezeshi kuendesha kampuni kitaalamu, lakini hamtaki usaidizi.
 
Tanzania hamuhitaji yeyote. Umaskini wenu ni wenu pekee.
Ata SADC Tanzania ndio karibu kushikilia mkia kwenye average income ya wananchi.
Sasa unalalamika kitu gani tulipokataa kumpa kazi yule mama nungayembe?. Tanzania is for Tanzanians, mubaki huko huko kwenu mumalizane na Alshabab, we don't need you here.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I like the fact that 50% of Safaricom Employees are women, good for the country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…