Formula 1 Official Thread

Formula 1 Official Thread

Kinachowaponza Ferrari ni Strategies zao tu, au kuna pandikizi la timu pinzani miongoni mwao.

Pole position on Saturday ni guarantee, kumentain 1st place ndio shughuli ilipo.
 
Kinachowaponza Ferrari ni Strategies zao tu, au kuna pandikizi la timu pinzani miongoni mwao.

Pole position on Saturday ni guarantee, kumentain 1st place ndio shughuli ilipo.
Pia gari. Ferrari mara nyingi sana hawamalizi race sio kwaajili ya ajali, shida magari. Huu msimu yana ishu. Sema ile break kubwa ya last month watakua wamefanyia kazi.
 
Max Mad Max kama kawa.. 53/53

FcYZ_bEX0AE_LMz.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Kinachowaponza Ferrari ni Strategies zao tu, au kuna pandikizi la timu pinzani miongoni mwao.

Pole position on Saturday ni guarantee, kumentain 1st place ndio shughuli ilipo.
Dereva anachangia kwa kiasi kikubwa sana. Verstappen ameanzia wa 7 ila amewakata wote within 4 laps. Si mchezo.
Hamilton ameanzia wa 19 ila ameingia top 5.
Timu zenye pesa zinachukua madereva bora, Red Bull na Mercedes wanao.
 
leteni matokeo basi wadau, mnacoment kama wote tumeangalia race.
 
Not yet.

Red Bull wana 545 points
Ferrari wana 406 points

Kwa timu labda bado ila it very much like looks like dune. Ferrari wanawndelea kuchallenge ila verstappen anaendelea kushinda tu. Sifa moja mbaya ya Lecrec this season ni kuanza mbele ila hamalizi mbele
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom