Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Uta update mzee nipo road.Kuna penati zimetembea, Max ataanza wa Tisa nafikiri,LH ataanza wa 19!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uta update mzee nipo road.Kuna penati zimetembea, Max ataanza wa Tisa nafikiri,LH ataanza wa 19!
Pia gari. Ferrari mara nyingi sana hawamalizi race sio kwaajili ya ajali, shida magari. Huu msimu yana ishu. Sema ile break kubwa ya last month watakua wamefanyia kazi.Kinachowaponza Ferrari ni Strategies zao tu, au kuna pandikizi la timu pinzani miongoni mwao.
Pole position on Saturday ni guarantee, kumentain 1st place ndio shughuli ilipo.
Pia gari. Ferrari mara nyingi sana hawamalizi race sio kwaajili ya ajali, shida magari. Huu msimu yana ishu. Sema ile break kubwa ya last month watakua wamefanyia kazi.
Dereva anachangia kwa kiasi kikubwa sana. Verstappen ameanzia wa 7 ila amewakata wote within 4 laps. Si mchezo.Kinachowaponza Ferrari ni Strategies zao tu, au kuna pandikizi la timu pinzani miongoni mwao.
Pole position on Saturday ni guarantee, kumentain 1st place ndio shughuli ilipo.
leteni matokeo basi wadau, mnacoment kama wote tumeangalia race.
vipi kuhusu Hamilton, nilitegemea ningemsikia kwenye nafasi ulizotaja.Lecrec na Ferrari wamevaba tena kama kawaida.
Verstapen kachukua, wa pili Lecrec. Ni ahabiki wa Ferrari ila wamenichosha. Lecrec ana pole 8 na karibu zote hajashinda raceView attachment 2353846
Not yet.
Red Bull wana 545 points
Ferrari wana 406 points