Mkuu, nipo hapa naangaliaMkuu kama umefatilia Practices zote tatu na qualifying, Rb imezingua sana. Hii circuit ni ngumu sana ku overtake, Max yuko p11 huku perez yuko p13.
Ila lolote linaweza kutokea maana Rb19 ni habari nyingine inapofika race day (Sunday)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ndio Verstappen.
Kutoka namba 11 hadi namba 6, hafu ndio kwanza lap ya 40/62
Nasema ivi leo tunaingia podium.
View attachment 2752385
[emoji122][emoji122][emoji122]Team Ferrari!
Safi kwa ushindi wa leo.
Constructors sawa ila Diver championship labda paka Qatar GPTumetunza Kwa Ajili ya Japan.
Uwezekano Wa Kuwin Driver Championship na Constructors championship kwa Red Bull Team.
Ila Kwanamna Walivyo struggles Kuanzia Practice Mpaka Qualifying na Leo Race, P5 na P8 ni Good Results.
I told you b4 unbeaten inaenda kutamatika, hopefully Constructors championship mnaenda kuichukua pale SuzukiSio mbaya wanangu wa RB. Tuliaribu jana kwenye qualifications. Ila tutafanya next time.
View attachment 2752467
Circuit imewabeba. Ngoja utawaona watakavotoil pale SuzukaFerrari naanza waogopa ... #1 na 4
Hahahaa watajuta... Singapore haijawahi kua nzuri kwa Max. Ona ata mwaka jana.Circuit imewabeba. Ngoja utawaona watakavotoil pale Suzuka
Pale haina shida kabisa.. Historia itajirudiaI told you b4 unbeaten inaenda kutamatika, hopefully Constructors championship mnaenda kuichukua pale Suzuki