Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Mkuu kama umefatilia Practices zote tatu na qualifying, Rb imezingua sana. Hii circuit ni ngumu sana ku overtake, Max yuko p11 huku perez yuko p13.
Ila lolote linaweza kutokea maana Rb19 ni habari nyingine inapofika race day (Sunday)
Mkuu, nipo hapa naangalia
 
Tumetoka namba 11 sasa tupo namba 8..

1000123286.png
 
Huyu ndio Verstappen.

Kutoka namba 11 hadi namba 6, hafu ndio kwanza lap ya 40/62

Nasema ivi leo tunaingia podium.

1000123343.png
 
Tumetunza Kwa Ajili ya Japan.

Uwezekano Wa Kuwin Driver Championship na Constructors championship kwa Red Bull Team.

Ila Kwanamna Walivyo struggles Kuanzia Practice Mpaka Qualifying na Leo Race, P5 na P8 ni Good Results.
 
Constructors sawa ila Diver championship labda paka Qatar GP
 
Sio mbaya wanangu wa RB. Tuliaribu jana kwenye qualifications. Ila tutafanya next time.

1000123353.png
 
Back
Top Bottom