Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Za Asubuhi jamani 😂😂😂

1000123949.png
 
Tukutane tarehe 08 October, kule kule lilipofanyika kombe la Dunia la Messi.

Ni katika Losail circuit, yenye urefu wa Kilometa 5.4 na tutafanya Laps 47 tu.
1000125463.jpg

Uwanja una corners 16, huku zile sharp corners 5 tu. The rest ruler.

Ikumbukwe kwenye barabara ilionyooka Max the Super Max hakamatiki. Uwa anapigwa kwenye road yenye kona tu.

Refer angalia kwenye SGP sio mwaka jana sio mwaka huu, ata kwenye podium tu hapandi. Yaani akijitahidi nafasi ya 6th huku qualifications alikua wa 11.

Uwanja wa Marina Singapore huu hapa, wa kisenge sana.
1000125464.png

Ferrari hapa wanapenda sana corners mbwa wale.
 
Kuna liwanja lipo Germany linaitwa Nurburgring aisee. Hii dude ina kilometa 20 na kona zaidi aya 100. Ndio uwanja mrefu na complex kuliko zote kuna kipindi unakutana na blind corners yaan umekata tu kona unakutana na konda kama ulikua 300+ aisee.. balaa

1000125853.jpg

Sema waliacha kuutumia miaka ya 70s ila kuna tetesi itarudi.
 
View attachment 2764027

Sema waliacha kuutumia miaka ya 70s ila kuna tetesi itarudi.
Mad Max hebu tulia
 
1. Gari ya F1 ikiwa top speed, dereva akanyanyua mguu kutoa kwenye accelerator, gari inapunguza speed kwa haraka zaidi kuliko gari ya kawaida dereva ukikandamiza brake hadi mwisho.
 
Hii yako Gyeoul

3. Kwenye street races mfano Monaco na Singapore inabidi wachomelee manhole covers maana vinginevyo zitafumuliwa na kurushwa kutokana na downforce ambayo F1 cars zinazalisha.
 
4. Gari ya F1 ina undwa na zaidi ya parts 80,000. Kwahiyo kama gari lipo zima kwa 99.99%, inamaanisha kuna parts 8 zilizofail. So inatakiwa gari liwe 100%
 
Back
Top Bottom