Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatubania sana. Hawajui vibe la hii kitu.Mwaka 2009 hii thread ilikuwa pinned... Sijui hadi Leo kilitokea nini hadi kuwa unpinned...
Mshindi wa kwanza anapata 25 points, wa pili 18, wa tatu 15, kisha wa nne hadi wa kumi wanapata 12, 10, 8, 6, 4, 2, 1 na 1.Endelea kwa kuelezea mgawanyo points... Toka mshindi hadi nafasi ya kumi.,
Swali
Kama Bugatti Chiron ina top speed ya 489 km/h na 0-100 km/h in 2.2 sec, je inaweza ingia ligi kwenye race track na F1 car?