mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Simple Mathematics, Hebu chukua 0.581 x 53 laps = 30.793sec
Kuna watu wanachukia 😁😁It's Race Day.
Max's Day.
Red Bull's Day.
Mad Max hebu tuliaKuna liwanja lipo Germany linaitwa Nurburgring aisee. Hii dude ina kilometa 20 na kona zaidi aya 100. Ndio uwanja mrefu na complex kuliko zote kuna kipindi unakutana na blind corners yaan umekata tu kona unakutana na konda kama ulikua 300+ aisee.. balaa
View attachment 2764027
Sema waliacha kuutumia miaka ya 70s ila kuna tetesi itarudi.