Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
14 in a row...Max wins again View attachment 2776039
Kuna watu watajinyonga.14 in a row...
Poa tuIli swala mmelichukuliaje wakuu? LH kuhamia Ferrari?
Atakua 3rd driver labda.Naona ndio yupo njiani kwenda kustaafu kwa aibu...
Tosha kabisa mkuu.. Ongeza na Max Verstappen..Sijui mengi kuhusu F1 zaidi ya kusikia aya majina Michael Schumacher na Lewis Hamilton