Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Results: Spanish Grand Prix
- Vettel
- Hamilton
- Button
Kweli kabisa mkuu Hamilton anaangushwa sana na watu wake mara nyingi anakosa ushindi katika mazingira ya kusikitisha.Vatell ni mbaya ila Hamilton mie naona watu wake wanamuangusha bora arudi Boss wake wa zamani Ron Dennis ikiendelea hivi mbili zinazokuja tuandike tu Vattel bingwa.
At least leo McLaren wamepunguza gap kwa Redbull... Ila Ferrari bado wana kazi kubwa!
Wajuzi wa mambo wanaamini kuwa F1 2011 imebakia two-horse race kati ya Sebastian Vettel na Lewis Hamilton .
Hamilton kayakoroga
Red flag... Vettel kushinda?