Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Ila huu mwaka ni wazi Vettel atatangazwa mshindi mapema kwa record yake nzuri anayoonesha...thats was a champion's drive... champagne time!!
 
Ila huu mwaka ni wazi Vettel atatangazwa mshindi mapema kwa record yake nzuri anayoonesha...thats was a champion's drive... champagne time!!
Ila leo bahati ilikuwa upande wake... atashukuru sana kwa safety car na red flag katika ushindi wa leo...!
 
Kibs, hii Race ya Monaco hainogi bana. Utafikiri wana race Stone town (unguja!) ...mkunazini via jaws corner, hamamni, -kwa Salehe madawa...ndio maana ajali haziishi! I miss overtakes za Lewis Hamilton.
,....ok, ngoja tuangalie restart.
Leo Lewis ameonyesha true color yake...
 
...ha ha ha, hivi mpaka awa join (Ferrari) ndio utamkubali?
Kheeee heeee heee... Kijana anapenda sana ujiko... hata hivyo kila akiwepo GF wake kwenye mpambano jamaa huchanganyikiwa sana! Leo hii amemake a joke with stewards..
Lewis Hamilton launched a furious attack on stewards after twice being penalised for incidents during his race to sixth place in Monaco.

"It's an absolute frickin' joke," he said. "I've been to see the stewards five times out of six this season."

Asked why that was the case, he said apparently in jest: "Maybe it's because I'm black. That's what Ali G says."
 
Lewis Hamilton Lazima ajichunge na apunguze kuongea kuhusu anaonewa na fulani na fulani mwisho ndio kama vile yanamkuta yeye lazima ajue akitaka kushindana na wenye F1 atakujak ushindwa yeye cha muhimu apunguze gazabu afanye kazi yake na kama Mc laren wakizidi kumzinguwa nao na Button wao aende Ferari au akajiumize na Race za Marekani wale jamaa F1 asipotizama watamuuwa Freemasons zile.
 
Kuna mtu kaona movie ya 'Senna' ? mkali wa F1 aliyekufa kwa ajali kwenye San Marino GP ya 1994.
 
Haaa haaa haaa... Ila ina uzuri wake kwa kuona jinsi alivyoweza kujenga jina lake katika F1.....

Hata mie nikipata nafasi nitatizama sema nimeanzak umjuwa Senna baada Hamilton kusema ni Idol wake. Zaidi ya hapo F1 nilianza kutizama DTV Tanzania kipindi Damon Hill alivyochukuwa zaidi ni kwamba toka kipindi hiko sikuwa mshabiki wa F1 sana ila Michael nilikuwa simpendi kabisaaaaaa Ndugu zangu wlaikuwa washabiki wakubwa wa Ferari.. Nilianza kupenda F1 sababu ya Kimi Raikkonen alivyokuwa Mc Laren na Hasa nilimpenda Montoya alivyokuwa akimfanyia fujo Michael schu nikawa Mshabiki mkubwa wa Mc Laren alivyokuja Hamilton ndio kabisa Damu nzito kuliko maji nikazidi kuwa Hamilton Fan ila Kimi alivyokuwa Ferari bado nilikuwa namshabikia zaidi ya hapo sina wengine.
 
https://www.jamiiforums.com/blog/wh...the-canadian-f1-grand-prix-in-montreal_353-4/
4921482.bin


When the Canadian Grand Prix comes to town, the party begins. With the combination of a great track and an exceptional nightlife, Montreal has become an annual trip for many people from all over the world. Mambo ndio hayo wajameni!!!
canadiangrandprix_montreal_2006_start.jpeg
 
Huko Kanada tutaona mengi.... Waliopo Tz Qualification ni saa mbili usiku... Ferrari inatisha!
 
Ferrari imebaki kuwa gari la kike siku hizi. Na hivi wana rangi NYEKUNDU kama nyumba ya Lady Jay Dee........

Nimeshasahau hata wimbo wa Taifa wa Italia unaimbwaje maana huwa naupenda sana hasa ile sehemu unakuwa kama danadana.

Siku hizi ni li wimbo la Taifa la German lililokaa kama wimbo wa dini......
 
Mkuu Sikonge
Baada ya matokeo ya pole position na ushindi hapo kesho usiku(kwa saa za Tz) itabidi uombe radhi kwa kuhidhihaki team kongwe kwenye F1
 
Hahahaa Kibs,

Huu wimbo siku nyingi sana sijausikia. Ngoja basi nikuwekee walau ujiburudishe kidogo maana siku hizi kila kukicha ni wimbo wa German na Australia maana Redbull team kwakweli wamepata mabawa maana wanakwenda kwa speed ya ajabu.

Kama siyo mdogo wetu Hamilton, wangelikuwa wanalala na ukifika wakati wa kushindana ndiyo wanaamka na hapo wanajua kabisa ni Redbull wanshindana wenyewe kwa wenyewe.

Hebu jikumbushe huu wimbo kama walau bado unaukumbuka. Wa Brazil, hehehee, subiri wakicheza mpira.

 
Last edited by a moderator:

MONTREAL - Sebastian Vettel refuses to ease off the gas pedal.
The Red Bull ace delivered yet another pole position for his team, his sixth of the season and the team's seventh in as many races at the Canadian Grand Prix Saturday.
And Formula One's reigning drivers' champion goes after his sixth victory in Sunday's 70-lap race at Circuit Gilles Villeneuve on Île Notre Dame with rain in the forecast (1 p.m., TSN, RDS).
It was the 21st career pole for the 23-year-old German and came a little more than 24 hours after heavily damaging his Renault-powered racer early in the first practice session on Friday.
"We need to make sure it doesn't become a habit ... crash the car Friday and pole Saturday," said Vettel, who is in position to win from pole for the second race in a row and for the fifth time this season.
"Friday the target is to do many laps without damaging the car," Vettel said.
"The team worked very hard and initially there was no chance or hope to go out again in the second (practice) session, but they fixed it very quickly. Fortunately there wasn't too much damage and we had the whole of P2, so that was very good for today.
"At this place, you really need to get into the rhythm because at the end to squeeze everything out of your car, on a rough track with the curbs and so on, you need a couple of laps to find that rhythm.
"In qualifying we had a good feeling in Q1 and Q2 and we probably knew that putting things together a little bit more, we could improve another bit for Q3," he said. "Things seemed to work well and here we are."
Vettel's qualifying time of one minute, 13.014 seconds at an average speed of 215.021 kilometres per hour on the 4.361-km circuit shattered the lap record (1:13.381) he set in the final practice session in the morning. The previous mark of 1:13.622 was set by Williams's Rubens Barrichello when he was with Ferrari in the 2004 race.
Ferrari's Fernando Alonso qualified second-fastest in 1:13.199 and the two-time world champion will start on the front row for the first time this season and after a season-best second in Monaco.
Felipe Massa added a second threat to Vettel for Ferrari, by qualifying third in 1:13.217 as the Italian team turned in its best qualifying outing of the season.
Completing the top five were Vettel's teammate Mark Webber, who secured fourth in 1:13.429 despite missing the final practice because of electrical issues with the KERS unit on the his car, and defending champion Lewis Hamilton of McLaren, in 1:13.565.
The KERS system has been something of a bugaboo for the team this season, but Vettel said his was "fine, no problems so far."
"It is difficult (for outsiders) to understand what is going on with us and the KERS," Vettel said of a system that basically recycles wasted energy into added power. "We know obviously a little bit more, but it's a shame. Sometimes it's no problems and all of a sudden we get caught out and as it happened to Mark this morning we saw he had to cancel the whole of P3.
"So far I have been lucky this weekend. KERS has been working and it will be working tomorrow as well," he said.
Ferrari has won the race here 11 times and has been strong all weekend and Alonso and Massa were confident the trend would continue in the race.
Alonso hasn't won since back-to-back victories in Italy and Singapore last year, both scored from pole position. He agreed that the team's performance Saturday was "the best" in a long time.
"There's no doubt," he said. "The cars were competitive from yesterday and today getting the first row on the grid, that hasn't been since Singapore, so it's a good feeling.
"For Felipe and me being (up front) is a nice team result for this weekend, but the real job is coming tomorrow," Alonso said. "The race is where the points are given so we have to maximize this privileged starting position and score as many points as possible."
Hamilton, who also won here in 2007, saw his run of three consecutive poles ended with McLaren surprisingly struggling with pace this weekend. Still, he was happy to qualify fifth, two spots ahead of teammate Jenson Button.
"Personally, I was very happy with my lap," he said. "I don't think I've ever driven a car as hard in my life as I did this afternoon. I was right on the ragged edge and I think I even touched the wall at one stage.
"I hope our race pace will prove to be stronger tomorrow than our qualifying pace was today," Hamilton added. "We're losing a couple of tenths along the back straight, which hurt us in qualifying.
"It's going to be a tough afternoon tomorrow, but it's always a long and unpredictable race here and we're definitely not out of the fight."
Vettel acknowledged that Red Bull hasn't done well in the race in the past, but feels the improvements made to the car will be significant factor Sunday.
And he didn't think the presence of the Ferrari lining up behind him at the start amounted to added pressure.
"At this stage everyone looks after himself," Vettel said. "In qualifying you know it's between you and the car. For sure you are fighting against the others, but first of all you try to maximize your own performance and that's the best you can do.
"Tomorrow it's a different ballpark. Very likely to rain, so we are as prepared as we can be," he said. "It's very long race and with a lot of things to happen and from what we've seen in the last two races, it will be very close.
"For today we can be happy, but tomorrow's a new day and probably a new adventure."


Read more: Montreal Grand Prix 2011: Sebastian Vettel takes F1 pole with record lap
 
Leo Canada Kitanyesha kivua? Hamilton Shark wa bahari lol! mpaka mvua ndio anashinda...

JAmani nauliza mnakumbuka USA ilifanyika F1 sema ilikuwa na utata wa Mgogoro wa Matairi je ile Wamarekani waliicheza nini kuharibu ili F1 isiwe USA sababu itaharibu Market ya NASCAR? au kulikuwa na sababu zengine za msingi?.
 
Hahahaa Kibs,

Huu wimbo siku nyingi sana sijausikia. Ngoja basi nikuwekee walau ujiburudishe kidogo maana siku hizi kila kukicha ni wimbo wa German na Australia maana Redbull team kwakweli wamepata mabawa maana wanakwenda kwa speed ya ajabu.

Kama siyo mdogo wetu Hamilton, wangelikuwa wanalala na ukifika wakati wa kushindana ndiyo wanaamka na hapo wanajua kabisa ni Redbull wanshindana wenyewe kwa wenyewe.

Hebu jikumbushe huu wimbo kama walau bado unaukumbuka. Wa Brazil, hehehee, subiri wakicheza mpira.



Sikonge umenifurahisha kweli unajuwa Kweli huu wimbo ulizoeleka Yule Dogo Vattel hakamatiki dawa yake ni aanze wa 4 labda Leo Hamilton ana kazi Mbele yake kuna Massa lazima wataondowana leo mtu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom