Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila leo bahati ilikuwa upande wake... atashukuru sana kwa safety car na red flag katika ushindi wa leo...!Ila huu mwaka ni wazi Vettel atatangazwa mshindi mapema kwa record yake nzuri anayoonesha...thats was a champion's drive... champagne time!!
Leo Lewis ameonyesha true color yake...Kibs, hii Race ya Monaco hainogi bana. Utafikiri wana race Stone town (unguja!) ...mkunazini via jaws corner, hamamni, -kwa Salehe madawa...ndio maana ajali haziishi! I miss overtakes za Lewis Hamilton.
,....ok, ngoja tuangalie restart.
Leo Lewis ameonyesha true color yake...
Kheeee heeee heee... Kijana anapenda sana ujiko... hata hivyo kila akiwepo GF wake kwenye mpambano jamaa huchanganyikiwa sana! Leo hii amemake a joke with stewards.....ha ha ha, hivi mpaka awa join (Ferrari) ndio utamkubali?
Lewis Hamilton launched a furious attack on stewards after twice being penalised for incidents during his race to sixth place in Monaco.
"It's an absolute frickin' joke," he said. "I've been to see the stewards five times out of six this season."
Asked why that was the case, he said apparently in jest: "Maybe it's because I'm black. That's what Ali G says."
Haaa haaa haaa... Ila ina uzuri wake kwa kuona jinsi alivyoweza kujenga jina lake katika F1.....
Hahahaa Kibs,
Huu wimbo siku nyingi sana sijausikia. Ngoja basi nikuwekee walau ujiburudishe kidogo maana siku hizi kila kukicha ni wimbo wa German na Australia maana Redbull team kwakweli wamepata mabawa maana wanakwenda kwa speed ya ajabu.
Kama siyo mdogo wetu Hamilton, wangelikuwa wanalala na ukifika wakati wa kushindana ndiyo wanaamka na hapo wanajua kabisa ni Redbull wanshindana wenyewe kwa wenyewe.
Hebu jikumbushe huu wimbo kama walau bado unaukumbuka. Wa Brazil, hehehee, subiri wakicheza mpira.