Formula 1® Grand Prix special thread

bad boy LH44 is 10th now...from 20th...top five finish lazima leo
 
hamilton kiboko...7th now from 20th soon atakuwa 2nd
 
LH44 kashashika namba tatu....huyu dogo balaa from 20th to 3rd!!! najua haja pit bado ila hata akipit atashuka hadi 5/6 hivi labda wale watu wa pit walete hujuma tena!
 
Brazil ilifungwa na Ujerumani, Mbrazil Massa amecrush lap ya kwanza Ujerumani...... Mwaka huu Brazil ina gundu na Ujerumani
 
LH44 kapitwa na Bottas lakini timu imemwambia amwache ana fresh tyre....nahisi Hamilton atakuwa kwenye two stops strategy..
 
Team strategy itamwangusha Lh na leo tena!!! nahisi kuna hujuma si bure....watu wote wa position za juu wame-pit na wana fresh tyre LH bado analose time kwa sababu ya matairi mabovu!!
 
Ah, there comes Lewis Hamilton for his first stop and another set of the soft tyres. He comes out in eighth place, with Daniel Ricciardo once more the man he has to pass first. Given he has yet to run the supersofts, he'll be on a two-stop.
 
dogo hajatulia hyuy sasa hivi ataharibu race yake...

Damage to Hamilton's front-wing after he hits the McLaren!
 
Sijui atakua lini?

we acha tu ila dogo anadrive balaa....Lewis Hamilton now up to third following those stops and fast catching Valtteri Bottas's Williams, the gap down to two seconds.
 
duh mkolono nae majanga yameanza.....Ah, we have heard from Nico Rosberg - "I'm really struggling with the left-front now".
 
team strategy itamuharibia LH race yake leo!!! team haijui nini inafanya au ni hujuma!timu ishamuharibia race hamilton....Right, now knowing he needs to stop one more time, Lewis Hamilton is going to have to try and salvage a podium on the race track. He runs fifth with the gap up to Sebastian Vettel in fourth 8.7 seconds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…