Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Kibunango....upo??!! Hamilton has zipped past Alonso - so quickly, in fact, that the move was missed by the TV race director!achana na mercedes kaka....je angeanza namba moja?
 
Last edited by a moderator:
Leo nilikata tamaa hata kutizama mpaka nilivyopata msg Hamilton yupo kwenye top 5 sio mbaya Leo ila ndio ajirekebishe kuliko kujuta kila siku bora ningefanya hivi na vile welldone Hamilton ila hongera zaidi Mkoloni ah Leo Alonso kajitoa Jasho.
 
majanga yanamuandama....gari inazingua kila akijaribu kufurukuta....ataanzia namba 15 trust me anamaliza top 5...kesho ndio mtaona gari inavyoendeshwa......

jana nilisema Hamilton ataanza 15th na kumaliza top 5 lakini ameanza 20th na kumaliza top 3 pamoja na complication kibao mara kagonga front wing na stategy zisizoeleweka....only hamilton can do that pace ya mercedes haina mpinzani
 
Leo nilikata tamaa hata kutizama mpaka nilivyopata msg Hamilton yupo kwenye top 5 sio mbaya Leo ila ndio ajirekebishe kuliko kujuta kila siku bora ningefanya hivi na vile welldone Hamilton ila hongera zaidi Mkoloni ah Leo Alonso kajitoa Jasho.

mkuu...mercedes haina mpinzani,hata akianza wa mwisho atakaemsumbua ni mercedes mwenzie tu....huyu bottas kapona kwa sababu ya matairi tu otherwise alikuwa anapitwa kama kasimama....!ricciardo kapitwa mara mbili au zaidi leo,akina alonso wanapitwa bila upinzani wowote...mercedes wako dunia ya peke yao msimu huu.
 
muda mwengine na wasiwasi Rosberg na Hamilton kuna vitu wanafanya Kama ki biashara ? Mara Wana smile mara hawataki kupeana mkono Sekunde chache wamegongana mabega kesho tutasikia news zengine.
 
Kibunango....upo??!! Hamilton has zipped past Alonso - so quickly, in fact, that the move was missed by the TV race director!achana na mercedes kaka....je angeanza namba moja?
Haya Kamanda! Hongereni! Ila race ilikuwa njema sana... Zaidi Hamilton ashukuru mzinga wa Massa... Manake pale mbele pasingetosha!
 
Hivi sheria za FIA zinaruhusu kile kilichotokea kwenye breakdown ya gari ya Sutil?? Watu kutembea kwenye live race track? Nilidhani wangeleta safety car...
 
Hamilton ndiye man of the match
Mkuu Riciardo unampotezea? Dogo amefanya mambo makubwa sana leo maana alitoka pos 5 akaenda 15 na karudi kumalizia 6. I'm sure gari yake ingekuwa na pace km ya Williams tu, hata Nico angemkoma dogo...

Hongereni Mercedes, mwaka huu ni wenu. Next ni Hungary....
 
Hivi sheria za FIA zinaruhusu kile kilichotokea kwenye breakdown ya gari ya Sutil?? Watu kutembea kwenye live race track? Nilidhani wangeleta safety car...

Swali zuri
cc; Kibunango
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Riciardo unampotezea? Dogo amefanya mambo makubwa sana leo maana alitoka pos 5 akaenda 15 na karudi kumalizia 6. I'm sure gari yake ingekuwa na pace km ya Williams tu, hata Nico angemkoma dogo...

Hongereni Mercedes, mwaka huu ni wenu. Next ni Hungary....
Kilichofurahisha ni kwa Alonso kumpa somo Ricciardo! Manake RedBull wangeitambia sana Ferrari!
 
mkuu...mercedes haina mpinzani,hata akianza wa mwisho atakaemsumbua ni mercedes mwenzie tu....huyu bottas kapona kwa sababu ya matairi tu otherwise alikuwa anapitwa kama kasimama....!ricciardo kapitwa mara mbili au zaidi leo,akina alonso wanapitwa bila upinzani wowote...mercedes wako dunia ya peke yao msimu huu.
Mkuu, Williams wanatumia engine sawa na ya Hamilton, Botas alikuwa na speed kwenye straight lane ndio maana alishindwa kumpita kwa laps tatu zilizobaki. Sio rahisi ku ovvertake gari yenye nguvu sawa kama vile alivyowapita akina Alosnso..

All in all, Hamilton ni kiboko yao, na njia pekee ya kumzuia ni kumfanyia hujuma within the team,,,....
 
Wengi tulitegemea kuja kwa Safety car baada ya spin ya Sutil, Hata jamaa wa Hamilton walitumia spin hiyo fasta kumuingiza Hamilton pit, ili atoke kabla ya Safety Car kuingia...

Ila naona mawazo ya stewards yalikuwa vingine... Kimsingi SC ilitakiwa kuingia!
Kumbuka pale ni Germany, na Nico ni Mgerman, kwa hiyo lazima ashinde, wangeingiza safety car ile gap ingefutwa na Hamilton angeshinda

Kila mtu dunia nzima anajua Hamilton is the best driver in fomular one at the moment na ndie anaeleta watazamaji na washabiki, kwa kifupi yeye ndie aliefufua F1
 
Back
Top Bottom