Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Aagreasive driving ndiyo tunayotaka kuiona

Pale ni ulingoni , kwa hiyo usitegemee mtu kuwasha indiketa kuomba kukupita...

aisee umenichekesha! lakini hio aggressive driving yake ndio mara nyingi inamfanya apate mizinga na kuharibu race yake mwenyewe...

hebu soma comments za watu mitandaoni,wana points fulani kwa wanachokisema:

1.Compare Hamiltons overtakes to Bottas at Silverstone and Hamilton looks like an impatient amateur. Why did Hamilton risk losing everything to get past Sutil, Button, Raikkonen when he was clearly in superior machinery and could pass easily on long straights. Bottas shows much calmer head and doesnt risk losing it to a backmarker!

2.Hamilton has a car that is more than twice as good as the next best...Williams. Getting from 20th to top two should have been a formality with minimum problems. Hamilton collided with other cars three times. That is why he will get some criticism. that and the constant moaning he does no matter what.
 
Alonso anakubali kuwa Hamilton ni mpinzani mgumu kwenye race na sio venginevyo kama unavyodai.

Ugumu wa Hamilton, upo wazi na pengine anapenda kuoneka hivyo hata mbele ya madereva wenzake! Hata jana kwenye German GP alionyesha tabia hiyo pale alipotaka kumpita Jenson Button...

Awali kabla ya tukio la Button, ambapo yeye binafsi ndio aliathirika, aliweza kuiharibu front wing ya Kimi... na baadae kugusana na Sutil..

Mifano hii haitoi picha kama Hamilton is the best than labda kuwa ni mgumu tu!

Mimi nitaendelea kusema tena na tena, Hamilton needs to grow up huko kichwani kwake. Hizi story za hujuma sijui kwa sababu ni mweusi ni za kishabiki zaidi, kuna wakati anafanya mambo ya kipuuzi kabisa kama teenager vile, anapenda kununanuna kama mjamzito na vitabia flani flani hivi ambavyo vimekua too much sasa
Nashangaa jana kwanini hakupigwa penati kwa zile rafu zake, angefanya dereva mwingine say Rosberg na akaachwa, watu wangesema ni kwa sababu ni mzungu. Ana safari bado kuwa kama Alonso, achana na malegend wengine maana hao wako mbali kidogo
 
you are right...hata ile front wing damage imemuathiri na safety car ingeingia hata Rosberg cha moto angekiona

Hiyo damage aliitafuta mwenyewee, kuna muda nilidhani labla hataki kumaliza ile race.
 
Mods naomba msiunganishe hii muache watu wajadili kwa faida ya wapenda formular 1

Mimi binafsi kwa mtazamo wangu naona Hamilton hana mpinzani ndio maana wapinzani pamoja na team mate wake wanahangaika kumhujumu ili asishinde

Wewe je unakubaliana nami??
Lewis%20Hamilton%20go-karting%20aged%208

Nani anamuhujumu Hamilton? Na hizo hujuma ni zipi maana tusije tukaanza kujadili conspiracy hapa. Kama kuna kitu kina muhujumu Hamilton ni kichwa chake mwenyewe
 
Hiyo damage aliitafuta mwenyewee, kuna muda nilidhani labla hataki kumaliza ile race.

kweli kabisa....na mimi nilikuwa naona hivyo hivyo...he is too aggressive hata sehemu isiyohitaji nguvu nyingi yeye anaforce tu....watu kama button angewasubiri kwenye straight line anawapita bila mikwaruzo!
 
Kwa hiyo unadhani formular 1 unaendesha huku umepiga kishoka na kuvuta sigara?
 
Nani anamuhujumu Hamilton? Na hizo hujuma ni zipi maana tusije tukaanza kujadili conspiracy hapa. Kama kuna kitu kina muhujumu Hamilton ni kichwa chake mwenyewe
Umewahi kutembea au kuishi Ulaya?

Naomba nijue rangi ya ngozi yako ndio nikufafanulie...
 
Hungarian GP: Dondoo

Lewis Hamilton ameshinda mara mbili katika circuit hii, na iwapo tunajali statistics, ni kwamba kuna uwekano wa Hamilton kushinda tena mwaka huu!

Iwapo itakuwa hivyo, basi itakuwa ni year on year hat-trick..

Vita ya maneno imeshaanza, na kama kawaida Rosberg akitamba kutojali sana kurace katika Hamilton track! Hili si la kushangaza sana katika majitambo, aidha upande wa Ferrari Alonso amemwambia Kimi avute soski, kwani timu ipo hatarini kupoteza nafasi yake ya tatu...
 
sio mara NNE???

from skysports:
Lewis Hamilton set the pace ahead of Mercedes team-mate Nico Rosberg in opening practice for the Hungarian GP on Friday morning.
Hamilton, who is seeking a record-breaking fifth win at the Hungaroring this weekend, lapped the 4.381km track in a time of 1:25.814s to go 0.183s faster than Rosberg.

Lewis Hamilton fastest, two-tenths quicker than Nico Rosberg; Hungaroring specialist Hamilton also fastest on the mediums, four-tenths clear of his Mercedes team-mate, having out-paced Rosberg in P1; Hamilton aiming for a record fifth Hungaroring victory on Sunday; Final race weekend before August summer break; Latest times and standings
 
sio mara NNE???
Yap ni mara nne, 2007, 2009, 2012 na 2013. 2011 alishika nafasi ya nne, aidha nilipiga hesabu ya kushinda mfululizo... kama inavyoonyesha kwenye bold.
 
Hungarian GP: Dondoo

Lewis Hamilton ameshinda mara mbili katika circuit hii, na iwapo tunajali statistics, ni kwamba kuna uwekano wa Hamilton kushinda tena mwaka huu!

Iwapo itakuwa hivyo, basi itakuwa ni year on year hat-trick..

Vita ya maneno imeshaanza, na kama kawaida Rosberg akitamba kutojali sana kurace katika Hamilton track! Hili si la kushangaza sana katika majitambo, aidha upande wa Ferrari Alonso amemwambia Kimi avute soski, kwani timu ipo hatarini kupoteza nafasi yake ya tatu...
Nimegundua kuwa wengi hapa mnashabikia F1 kama mpira.

Hamilton kashinda mara nne na jumapili itakuwa ya tano

Roseberg atapata ajali au gari yake itafail breaks, kwa hiyo zile point 14 zitafutwa na tutaongoza
 
sawa mrithi wa sheikh yahya....
 
Nimegundua kuwa wengi hapa mnashabikia F1 kama mpira.

Hamilton kashinda mara nne na jumapili itakuwa ya tano

Roseberg atapata ajali au gari yake itafail breaks, kwa hiyo zile point 14 zitafutwa na tutaongoza

Sijui ndio ile conspiracy yako iko kazini? Hamilton huyoo kwa kheri baada ya gari lake kuwaka moto kabla hata hajaset time kwenye Q3
 
Sijui ndio ile conspiracy yako iko kazini? Hamilton huyoo kwa kheri baada ya gari lake kuwaka moto kabla hata hajaset time kwenye Q3
Sio siri roho imeniuma sana, mpaka nimetamani kulia.

Why always Hamilton?

Kwa kifupi hawa wajerumani watafanya kila liwezekanalo ili Roseberg ashinde mwaka huu, kwa sababu bila kumfanyia hujuma Hamilton Roseberg hawezi shinda hata iweje.

Immagine amekuwa top practice zote na sasa leo haya, week iliyopita ajali mbaya. Mwisho tutasikia wamemuua tu huyu dogo...
 
Back
Top Bottom