naona kuhusu kuuliwa uwanjani tumesema wote dah hatari sasa.Sio siri roho imeniuma sana, mpaka nimetamani kulia.
Why always Hamilton?
Kwa kifupi hawa wajerumani watafanya kila liwezekanalo ili Roseberg ashinde mwaka huu, kwa sababu bila kumfanyia hujuma Hamilton Roseberg hawezi shinda hata iweje.
Immagine amekuwa top practice zote na sasa leo haya, week iliyopita ajali mbaya. Mwisho tutasikia wamemuua tu huyu dogo...