Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Sio siri roho imeniuma sana, mpaka nimetamani kulia.

Why always Hamilton?

Kwa kifupi hawa wajerumani watafanya kila liwezekanalo ili Roseberg ashinde mwaka huu, kwa sababu bila kumfanyia hujuma Hamilton Roseberg hawezi shinda hata iweje.

Immagine amekuwa top practice zote na sasa leo haya, week iliyopita ajali mbaya. Mwisho tutasikia wamemuua tu huyu dogo...
naona kuhusu kuuliwa uwanjani tumesema wote dah hatari sasa.
 
Wakuu Chris Lukosi na Pazi, ni bahati mbaya kwa Hamilton hata mimi kama member wa #TeamHamilton nimeumia kutokana na hii mikosi imemuandama kijana lakini tuishie hapahapa, no need to speculate, sidhani kama jamaa wanaweza fanya makusudi wakaliwasha moto gari lao expensive
 
Last edited by a moderator:
Kibunango nadhani ni wakti muafaka ukampokee usukani bwana Kimi, maana hii ni zaidi ya aibu. Bianchi wa Marrussia amequalify kwenda Q2 juu ya Iceman? Lol
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Chris Lukosi na Pazi, ni bahati mbaya kwa Hamilton hata mimi kama member wa #TeamHamilton nimeumia kutokana na hii mikosi imemuandama kijana lakini tuishie hapahapa, no need to speculate, sidhani kama jamaa wanaweza fanya makusudi wakaliwasha moto gari lao expensive
Comment yako ni kweli pesa za hizo gari usukani tu bei mbaya ila ndio Hivyo Hamilton tunavyompenda sawa na baaazi ya kina Mama atamwambia mwanae usicheze na Mourinho ni mtoto muhuni Kumbe hajui mwanae Pazi ndio muhuni huko nje ni mapenzi tunajisahau mengine ila inauma mzee.
 
Mkuu ukae ukijua wanataka wamlete vettel mercedes , Kwa hiyo ili Hamilton aondoke na Roseberg ashinde watafanya kila kitu lakini sasa naona imekuwa too much kiasi kwamba wanajidhalilisha tu

I suggest Hamilton arudi Mc laren alikotoka na alikoheshimiwa na kuthaminiwa ...
 
Kumbe Pazi ni muhuni kama Gang Chomba, teh teh teh
Kwa kweli inauma sana, hamu yote ya kuangalia hii qualifying imeungua na moto uliounguza gari ya Hamilton, ila kesho nina hakika tutaenjoy maana huo moto atauwasha Hamilton, hakuna fire extinguisher itaweza kuuzima
 
Kwa kifupi mimi binafsi huwa na enjoy Hamilton akianza ku attack kutokea nyuma kuliko akianza kuongoza tuuu mwanzo mpaka mwisho.

Ila kuna hatari zake kama vile ajali na matairi kuisha mapema
 
Kesho ataongeza umakini bila shaka, natamani Rosberg na yeye achemshe kwenye Q3 au kesho aanze vibaya.
 
Mkuu ukae ukijua wanataka wamlete vettel mercedes , Kwa hiyo ili Hamilton aondoke na Roseberg ashinde watafanya kila kitu lakini sasa naona imekuwa too much kiasi kwamba wanajidhalilisha tu

I suggest Hamilton arudi Mc laren alikotoka na alikoheshimiwa na kuthaminiwa ...
Huko ndipo ataporudi ros Dennis nafikiri atakuwa tayari kumpokea anahitaji love!
 
Kesho ataongeza umakini bila shaka, natamani Rosberg na yeye achemshe kwenye Q3 au kesho aanze vibaya.
10470859_738449142878085_6214008139641124106_n.jpg
 
Red Flag na mvua inanyesha, hopefully Roseberg hachukui pole ili iwe rahisi kwetu

Mwaka 2008 Nelson Piquet aliambiwa acrash gari ili Alonso ashinde, kwa hiyo Mercedes wanaweza ku sabotage gari yao ili Roseberg ashinde
 
najaribu kutokucheka kwa machangu ya Hamilton ila this is funny! wazungu Tuacheni utani pia hata Kama gari millioni ngapi za UK money wanaouwezo siku wa kumpoteza Hamilton hawaaminiki ni wewe tu binadamu Kuwa makini na Kuwa mjasiri Kama Dogo Hamilton Mie arudi tu McLaren ndio waliomlea vizuri na wanampenda kwa kila kitu hii timu wanatafuta njia ya kumuuzi Dogo.
 
Confirmed, kuna pipe ya mafuta ilikuwa loose hivyo mafuta yalikuwa yanamwagika kwenye exhaust.
 
Coincidence. Perhaps, but something is happening to one- driver and not the other. Rivals are supposed to be- competing at the same level. Mercedes: German company,- German driver. British driver having continued- problems.
 
Do you really think a German Manufacturer Team, that wanted two German drivers when returning to the sport, when they have a clear opportunity to win the title, will let their English driver win the drivers Championship!? Lewis needs to get out of there!
 
"I have Mercedes printed on my chest – it's my home here," Hamilton said on Thursday night. "I imagine something will happen – I'm sure something will happen this year but now's not the time to really focus on that. I've made it clear to them that I'm not out to see what else there is for me. Mercedes has been my family since I started F1 and I don't see that changing any time soon."
 
Back
Top Bottom