Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Kumbe number 44 ni rangi nyekundu Mie nilishangaa ile 6 green inanichanganya najuwa Rosberg je Rosberg anakuwa gari number yake ni ngapi? Bora safety car zije sana Leo.

rosberg 6
 
Kumbe number 44 ni rangi nyekundu Mie nilishangaa ile 6 green inanichanganya najuwa Rosberg je Rosberg anakuwa gari number yake ni ngapi? Bora safety car zije sana Leo.

_74078056_021815532-1.jpg
 
LH44 is 9th now!! only 4 places behind NR6.....ushindi possible leo
 
Hamilton hayupo mbali asije kagongwa tu come on Lewis Hamilton uwafunge midomo watu.
 
Lewis Hamilton awe na subra kila akitaka kupita mapema itampotezea muda.
 
amepit safety ilivyoingia sio kabla

Then angetoka nafasi ya kwanza, nachokumbuka ni kuwa alipit kabla ya safety car alivyotoka tu SC ikaingia, ndio maana gari tatu zilizokua nyuma yake zikagain nafasi mbele yake
 
Vattel nuksi akiweza kupitwa Vattel ujue Rosberg anapitwa labda jamaa zake waharibu mitambo ya Hamilton.
 
Then angetoka nafasi ya kwanza, nachokumbuka ni kuwa alipit kabla ya safety car alivyotoka tu SC ikaingia, ndio maana gari tatu zilizokua nyuma yake zikagain nafasi mbele yake

kapitwa na gari mbili kwenye race...halafu anae lead anakuwa wa mwisho kuona safety car as wakati ajali inatokea yeye kashapita over 5seconds kwa case ya leo...pia hamna sababu ya kupit after 7/8 laps bila emergency kama safety car... inawezekana uko sahihi pia
 
Horrible, horrible crash for Sergio Perez along the pit-straight. The Safety Car is out again - and there is debris scattered all over the track. But phew, the Mexican is out of the wreckage with a wave to the crowd to confirm that all is well with him - if not his car
 
Leo LH44 mambo yanamuendea vizuri SC itamsaidia kupooza brake zake!!! wakati ricciardo 6secs lead is wiped!!
 
Back
Top Bottom