Rosberg nafikiri akatafute Pajamas usiku sasa huko alipo akalale wakubwa bado wanaendelea... #TeamHamilton44
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rosberg nafikiri akatafute Pajamas usiku sasa huko alipo akalale wakubwa bado wanaendelea... #TeamHamilton44
Alonso aache kisebusebu... yeye ni two times world champion! Kumekuwepo na fununu muda mrefu na amekuwa akikanusha tu! Lakini baada ya Singapore GP inaonyesha wazi Alonso ataondoka Ferrari!Mc Laren Honda 2015.... hawa jamaa wanammendea Alonso kinoma. Wale #TeamFernandoAlonso mnasemaje? Mko tayari kumuachia jamaa?? Kibunango Mourinho BAK Wacha1
Ile overtake ya Singapore ndio ilidhihirisha who is the daddy kwenye F1Alonso aache kisebusebu... yeye ni two times world champion! Kumekuwepo na fununu muda mrefu na amekuwa akikanusha tu! Lakini baada ya Singapore GP inaonyesha wazi Alonso ataondoka Ferrari!
Kuondoka kwake Ferrari kwa upande wake atakuwa amefeli, kwani pamoja na uzoevu wake ameshindwa kutwaa ubingwa akiwa na Ferrari.. Mbaya zaidi naona hata uongozi mpya wa Ferrari haupo pamoja nae... Na hili litakuwa zimwi kwake popote pale atakapokwenda ukiondoa kujiunga na Mercedes ambao sasa wamejua uwezo wa Lewis baada ya overtake yake ya kushinda pale Singapore...
Alonso aondoke tu Ferrari, kwanza tabia yake kuchonga juu ya team mate wake imetosha sasa! Itachukua muda kwa Ferrari kuwa in top three cars, awepo dereva mwingine ambaye ataweza kurejesha heshima ya Ferrari zaidi ya huyu Alonso.
Kosa ambalo atakuja kujijutia ni iwapo hatohama Italy msimu huu.. kwani ni wazi yeye sio Developer and Driver bali ni devera tu! Na kama ni dereva tu, basi anahitaji gari kamili kwa kuendesha tu, bila kuwepo na mchango wake wowote hata wa kuchagua aina ya matairi!
Haya haya..... another great weekend....