Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Japan GP- Qualification

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Nico Rosberg[/TD]
[TD]Mercedes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Lewis Hamilton[/TD]
[TD]Mercedes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Valtteri Bottas[/TD]
[TD]Williams[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Felipe Massa[/TD]
[TD]Williams[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Fernando Alonso[/TD]
[TD]Ferrari[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Daniel Ricciardo[/TD]
[TD]Red Bull Racing[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Kevin Magnussen[/TD]
[TD]McLaren[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Jenson Button[/TD]
[TD]Mclaren[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Sebastian Vettel[/TD]
[TD]Red Bull Racing[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]Kimi Raikkonen[/TD]
[TD]Ferrari[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Alonso aache kisebusebu... yeye ni two times world champion! Kumekuwepo na fununu muda mrefu na amekuwa akikanusha tu! Lakini baada ya Singapore GP inaonyesha wazi Alonso ataondoka Ferrari!

Kuondoka kwake Ferrari kwa upande wake atakuwa amefeli, kwani pamoja na uzoevu wake ameshindwa kutwaa ubingwa akiwa na Ferrari.. Mbaya zaidi naona hata uongozi mpya wa Ferrari haupo pamoja nae... Na hili litakuwa zimwi kwake popote pale atakapokwenda ukiondoa kujiunga na Mercedes ambao sasa wamejua uwezo wa Lewis baada ya overtake yake ya kushinda pale Singapore...

Alonso aondoke tu Ferrari, kwanza tabia yake kuchonga juu ya team mate wake imetosha sasa! Itachukua muda kwa Ferrari kuwa in top three cars, awepo dereva mwingine ambaye ataweza kurejesha heshima ya Ferrari zaidi ya huyu Alonso.

Kosa ambalo atakuja kujijutia ni iwapo hatohama Italy msimu huu.. kwani ni wazi yeye sio Developer and Driver bali ni devera tu! Na kama ni dereva tu, basi anahitaji gari kamili kwa kuendesha tu, bila kuwepo na mchango wake wowote hata wa kuchagua aina ya matairi!

Mkuu,
Mimi naona kama move ya Alonso ni nzuri, atafanya mambo mazuri zaidi ikiwa ni pamoja na kutoa views za kuifanya power unit ya Honda iwe nzuri zaidi.
Anaenipa shida kidogo ni huyu mkoloni wa Redbull Vettel. Naona km amekurupuka cos of bad season na ameshindwa kuonyesha uwezo wake dhidi ya kijana Ricciardo.

Ngoja tuone kesho mambo yatakuwaje pale Suzuka, maana ni mapema!!!
 
Mkuu,
Mimi naona kama move ya Alonso ni nzuri, atafanya mambo mazuri zaidi ikiwa ni pamoja na kutoa views za kuifanya power unit ya Honda iwe nzuri zaidi.
Anaenipa shida kidogo ni huyu mkoloni wa Redbull Vettel. Naona km amekurupuka cos of bad season na ameshindwa kuonyesha uwezo wake dhidi ya kijana Ricciardo.

Ngoja tuone kesho mambo yatakuwaje pale Suzuka, maana ni mapema!!!
Hii ya SV imeniacha hoi,pamoja na kusema kuwa hakimbii mtu huko Red Bull ni wazi anamkimbia Ricciardo ili aweze kutunza heshima ya ubingwa wake wa miaka minne.

Ingawa bado kuthibitika rasmi ni kuwa anakuja Ferrari, hapa atakuwa na sababu nzuri ya kuonekana kuwa ni dereva wa kawaida tu, kwani Ferrari bado kutoa gari lenye ushindani....

FA kwenda Honda ni kama kucheza bahati nasibu...
 
Stations gani wanaonyesha hizi aisee?? huwa ni mpenzi sana wa haya mashindano japokua sheria zake sizijui. Nawakubali sana Vettel na Rosberg
 
Stations gani wanaonyesha hizi aisee?? huwa ni mpenzi sana wa haya mashindano japokua sheria zake sizijui. Nawakubali sana Vettel na Rosberg
Kwa leo zimeshakwisha kwani ilikuwa ni mapema asubuhi saa tatu sawa na saa tisa huko Japan... Next race itakuwa Russia. channel inategemea na sehemu unayoishi.
 
LH in pole position for tomorrow's Grand prix in Russia, .... NR second then Bottas, Button .. .. ... .. were it is rumoured that the killer will attend the race .. ... . and he might disrupt the proceedings .. .. .
 
Back
Top Bottom