Alonso aache kisebusebu... yeye ni two times world champion! Kumekuwepo na fununu muda mrefu na amekuwa akikanusha tu! Lakini baada ya Singapore GP inaonyesha wazi Alonso ataondoka Ferrari!
Kuondoka kwake Ferrari kwa upande wake atakuwa amefeli, kwani pamoja na uzoevu wake ameshindwa kutwaa ubingwa akiwa na Ferrari.. Mbaya zaidi naona hata uongozi mpya wa Ferrari haupo pamoja nae... Na hili litakuwa zimwi kwake popote pale atakapokwenda ukiondoa kujiunga na Mercedes ambao sasa wamejua uwezo wa Lewis baada ya overtake yake ya kushinda pale Singapore...
Alonso aondoke tu Ferrari, kwanza tabia yake kuchonga juu ya team mate wake imetosha sasa! Itachukua muda kwa Ferrari kuwa in top three cars, awepo dereva mwingine ambaye ataweza kurejesha heshima ya Ferrari zaidi ya huyu Alonso.
Kosa ambalo atakuja kujijutia ni iwapo hatohama Italy msimu huu.. kwani ni wazi yeye sio Developer and Driver bali ni devera tu! Na kama ni dereva tu, basi anahitaji gari kamili kwa kuendesha tu, bila kuwepo na mchango wake wowote hata wa kuchagua aina ya matairi!
Hii ya SV imeniacha hoi,pamoja na kusema kuwa hakimbii mtu huko Red Bull ni wazi anamkimbia Ricciardo ili aweze kutunza heshima ya ubingwa wake wa miaka minne.Mkuu,
Mimi naona kama move ya Alonso ni nzuri, atafanya mambo mazuri zaidi ikiwa ni pamoja na kutoa views za kuifanya power unit ya Honda iwe nzuri zaidi.
Anaenipa shida kidogo ni huyu mkoloni wa Redbull Vettel. Naona km amekurupuka cos of bad season na ameshindwa kuonyesha uwezo wake dhidi ya kijana Ricciardo.
Ngoja tuone kesho mambo yatakuwaje pale Suzuka, maana ni mapema!!!
Japan GP
Hali ya hewa ni tata
Leo kosa moja tu out!
Tunasubiri roseberg achemshe kidogo tu....
Aidha Vettel leo kajititimua, DR alikuwa akioga mvua toka kwa SV.... 🙂So far nimeamua kuwa #TeamDanielRicciardo ....
Aidha Vettel leo kajititimua, DR alikuwa akioga mvua toka kwa SV.... 🙂
Kwa leo zimeshakwisha kwani ilikuwa ni mapema asubuhi saa tatu sawa na saa tisa huko Japan... Next race itakuwa Russia. channel inategemea na sehemu unayoishi.Stations gani wanaonyesha hizi aisee?? huwa ni mpenzi sana wa haya mashindano japokua sheria zake sizijui. Nawakubali sana Vettel na Rosberg
#TeamFerrari , baada ya Alonso kutoka ikiwa kama imeshikwa na bumbuwazi, kwani Kimi alikuwa kwenye position ya kupata yapo pointi mbili, lakini alivyokwenda box ya kwanza wakamwalibia race yake...Hahahaha.... ila bado dogo angemmaliza tu! Condition ndio imeharibu uhondo.
#TeamLewisHamilton hongereni
#TeamFernandoAlonso poleni sana
Sikuwa na nia mbaya na sikutegemea Ajali mbaya kama ya Bianci#TeamLewisHamilton mna dua mbaya! Mi leo naomba gari zote ziwe poa ili tuone madereva wazuri ni akina nani!!
So far nimeamua kuwa #TeamDanielRicciardo ....
Ajali yake ilikuwa mbaya, FIA wamezuia video yake, ameligonga lile tractor iliyokuwa inaondoa gari ya Sutil katika speed kubwa!Sikuwa na nia mbaya na sikutegemea Ajali mbaya kama ya Bianci
Nilikuwa na maana kama vile ku spin au kugonga barier kama Sutil
Get well soon Bianci