Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Hamilton, driving yake ni nzuri sana ingawa mwaka huu hawana gari zuri bado ameweza kuhimili vishindo. Kiufundi Michael bado dereva mzuri na hasa kwenye kulinda nafasi yake.kibunango,lets talk technicalities na u natural born driver.Je unafikiri if all the current drivers of F1 were given cars with same specifications/quality etc etc who would win the championship?
Ferrari takes pole in Monza... The shakedown kesho mchana
Yap... Naona Ferrari wamejipanga vema weekend hii, hata hivyo surprises zitatokea tu...!
Zimebaki race tano nadhani...asipoangalia dogo Ham atapotea mazima hapo juu..Ila ushindani umekuwa mkali sana na kama sio matatizo ya suspension jana Kijana Ham angeweka Gap kubwa kwa anae mfwata..Well done Ferrari, hapana shaka ubingwa mwaka huu utatokea katika raundi mbili za mwisho
Pale Monza tabia ya Ham ya aggressive driving ndio iliyomponza. Sasa wanaelekea Asia na nina wasiwasi kama McLaren watakuwa na ubavu kwenye circuit nyingi za huko ambazo nyingi zina kona nyingi.Zimebaki race tano nadhani...asipoangalia dogo Ham atapotea mazima hapo juu..Ila ushindani umekuwa mkali sana na kama sio matatizo ya suspension jana Kijana Ham angeweka Gap kubwa kwa anae mfwata..
Leo F1 ipo Singapore, mpambano wa usiku...Ferrari ipo pole position.
Webber ana nafasi nzuri ya kuwa bingwa, hata hivyo tofauti kati yake na Alonso ni pointi 11, na bado kuna race nne... Hivyo kazi bado anayo! Vettel hana nafasi nzuri sana hadi sasa.Mwaka wa kina Vettel na Webber huu, washindwe wenyewe...