Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

F1 sijui imechukua turn for the best au worst,kwa mara ya kwanza some races have been passing me,the wheel to wheel racing,machezo katika pit stop etc hatuyaoni tena,hii kujaza petrol once imefanya racing kuwa too predictable,yaani those days we used to sit on the edge of our seats have gone.RIP f1 akina eccelstone tamaa zao wameu drag huu mchezo katika gutter
 
SA
F1 imechukua turn mbaya, licha ya kuondoa fuel refill, hata aina ya matairi ni kutoka kampuni moja tu. Mbaya zaidi utumiaji wa matairi hayo yaenda sambamba kwa kila timu. Kisheria top 10 qualifier wanaanza na matairi waliyoyatumia kwenye qualification, mara nyingi huwa ni soft tyre na wakienda first pit stop wanaingia kwenye hard na baadae kurudi kwenye soft. Hali hii vilevile inachangia kuzorota kwa mchezo huu. Technical iliyobaki ni kwenye diffuser na wings tu!
 
kibunango,lets talk technicalities na u natural born driver.Je unafikiri if all the current drivers of F1 were given cars with same specifications/quality etc etc who would win the championship?
 
kibunango,lets talk technicalities na u natural born driver.Je unafikiri if all the current drivers of F1 were given cars with same specifications/quality etc etc who would win the championship?
Hamilton, driving yake ni nzuri sana ingawa mwaka huu hawana gari zuri bado ameweza kuhimili vishindo. Kiufundi Michael bado dereva mzuri na hasa kwenye kulinda nafasi yake.
 
Ferrari takes pole in Monza... The shakedown kesho mchana
 
Mkuu we ni KIbs kweli kweli?!lol, ulipotea sanaaaa!!..good to see you back sanasana thread hii!!
Yap... Naona Ferrari wamejipanga vema weekend hii, hata hivyo surprises zitatokea tu...!
 
Yap... Naona Ferrari wamejipanga vema weekend hii, hata hivyo surprises zitatokea tu...!

....aaaarggghh, Hamilton (Out) mshamvunjia Steering Rod yake sasa. Thanks God Jenson Button anaendelea kuongoza (from start!) Lap 32/53!
 
uuurrggghh,
Alonso & FERRARI on podium :angry:
 
_49074559_alonsocelebrates766.jpg

_49074659_champagnebutton766.jpg

_49074660_massa766.jpg

Brazil's Felipe Massa comes home third to give Ferrari a double podium finish in their home Grand Prix and keep them in the race for the constructors championship
_49074661_fans766.jpg
 
Standing ilivyo mpaka baada ya race ya leo

1 Mark Webber Aus Red Bull-Renault 187
2 Lewis Hamilton GB McLaren-Mercedes 182
3 Fernando Alonso Spa Ferrari 166
4 Jenson Button GB McLaren-Mercedes 165
5 Sebastian Vettel Ger Red Bull-Renault 163

6 Felipe Massa Brz Ferrari 124
7 Nico Rosberg Ger Mercedes GP 112
8 Robert Kubica Pol Renault 108
 
Well done Ferrari, hapana shaka ubingwa mwaka huu utatokea katika raundi mbili za mwisho
 
Well done Ferrari, hapana shaka ubingwa mwaka huu utatokea katika raundi mbili za mwisho
Zimebaki race tano nadhani...asipoangalia dogo Ham atapotea mazima hapo juu..Ila ushindani umekuwa mkali sana na kama sio matatizo ya suspension jana Kijana Ham angeweka Gap kubwa kwa anae mfwata..
 
Zimebaki race tano nadhani...asipoangalia dogo Ham atapotea mazima hapo juu..Ila ushindani umekuwa mkali sana na kama sio matatizo ya suspension jana Kijana Ham angeweka Gap kubwa kwa anae mfwata..
Pale Monza tabia ya Ham ya aggressive driving ndio iliyomponza. Sasa wanaelekea Asia na nina wasiwasi kama McLaren watakuwa na ubavu kwenye circuit nyingi za huko ambazo nyingi zina kona nyingi.
 
Leo F1 ipo Singapore, mpambano wa usiku...Ferrari ipo pole position.
 
Mwaka wa kina Vettel na Webber huu, washindwe wenyewe...
Webber ana nafasi nzuri ya kuwa bingwa, hata hivyo tofauti kati yake na Alonso ni pointi 11, na bado kuna race nne... Hivyo kazi bado anayo! Vettel hana nafasi nzuri sana hadi sasa.

Well done Alonso and Ferrari kwa ushindi wa leo.
 
SASA TUONE JAPAN ITAKUWAJE
Five-place penalty for Hamilton

Heavy rain forces Japanese GP qualifying switch


 
Kibs, are you watching F1??

Its the most exciting of the year
 
Kibs, are you watching F1??

Its the most exciting of the year
Yap yap nimmeangalia... na Hongera kwa team Ferrari.... Naona Mercedes ya kina Schumacher imekuwa na pace nzuri leo!
 
Back
Top Bottom