BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mie pia nimeshakaa mkao wa kula, GO LH! GO LH! GO Natumai wadau wengine wa jukwaa letu mwanana watashuka hapa ili kuja kushangilia ushindi wa Lewis.
Nipo mbele ya luninga sala zangu zimuendee Lewis :teeth: