Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Nina uhakika watu wa F1 huwa hamkosi kipindi cha BBC's Top Gear, Jeremy Clarkson kama ilivyotarajiwa na wengi, kibarua chake kimeota nyasi. Binafsi nilikua namkubali sana huyu jamaa pamoja na his faults, sijui kile kipindi kama kitanoga tena bila yeye.
Maoni yenu wadau BAK, Kibunango, RRONDO, Pazi, DMussa, BelindaJacob, Wacha1 na wengine
http://www.bbc.co.uk/news/entertainment-arts-32052736
Maoni yenu wadau BAK, Kibunango, RRONDO, Pazi, DMussa, BelindaJacob, Wacha1 na wengine
http://www.bbc.co.uk/news/entertainment-arts-32052736
Last edited by a moderator: