Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Naona hali sio nzuri leo kwa Verstappen.

Screenshot_20240607-211628.png
 
Huyu Yuki aisee ana improve kila siku. He's quickly become one of my favorite drivers. Leo naona #8

Screenshot_20240609-001621.png

Hii ni grid lakini.
 
Kwa walioangalia Q1, Q2 na Q3 jana it was competitive. Katika Q3 Both Max & Russell got 1:12:000 imagine.
 
Hivi Perez ana gari kama la Verstappen RB20 au yeye anatumia la mwaka juzi RB18?
 
Am not a Mercedes fan, ila leo LH kaendesha gari aisee. It was competitive. Kuanzia kwenye practice, qualifying hadi race, jamaa katisha. Ila still RB20 ni the best..

GQxBi71XsAAKTgv.jpeg
 
Am not a Mercedes fan, ila leo LH kaendesha gari aisee. It was competitive. Kuanzia kwenye practice, qualifying hadi race, jamaa katisha. Ila still RB20 ni the best..

View attachment 3024014
All in all naona RB watapata upinzani mkubwa toka McLaren kuliko timu nyingine yoyote kwenye dry race...

Leo RB kashinda kwa sekunde 2 dhidi ya McLaren, huku Mercedes akiachwa kwa sekunde 17....
 
All in all naona RB watapata upinzani mkubwa toka McLaren kuliko timu nyingine yoyote kwenye dry race...

Leo RB kashinda kwa sekunde 2 dhidi ya McLaren, huku Mercedes akiachwa kwa sekunde 17....
Atleast someone kaliona ili. Max atachukua kombe la driver ila Constructor naona kabisa sio la Redbull huu mwaka.

Screenshot_20240623-211517.png

Peréz anazingua sana.
 
Back
Top Bottom