Unachanganya Paraza, mashudu ya alizeti, mashudu ya pamba, dagaa, chokaa, mifupa, soya na mtama.Nashukuru lakini sina uhakika kama vitafanya kazi kama ilivyo vile vyakula vyake maalumu.
Nataka mwenye ujuzi na huo
Mie Nina ujuzi na chotara na kuku wa Malawi. Nawafuga hao sijawahi jaribu broilerAsante, ikifika ile hatua ya mwisho ntawapa nini, Yan finisher?
Asante sana kwa ushauri huoNimepiga simu Farmers center niongee na daktari wa mifugo. Naweza kukupa number zao kama reference. .
Nimejibiwa kile chakula Huwa wananunua special. Kasema usichanganye mwenyewe kina formula kubwa sana ukikosea kuku wanadumaa hawakui. Hivyo Dr kashauri uende ununue kilichochanganywa la sivyo utapata hasara kubwa. .
Asante sana kwa ushauri huo
Ila pia wana faida kubwa sana. Hata Mimi nilitaka kufuga ila kilichonishinda ni gharama za kuwatunza hizo week nne. Usiku kuamka kuwaangalia au kuhakikisha wana joto sahihi. Nikaona Bora nifuge kuroiler na Malawi. .Kuku wa nyama (broiler) wanatesa sana
Wapo sana tu sema ni vile kutaka kusave, vyakula vyake bei sana, isitoshe pia kuna kutetereka kiuchumiIla pia wana faida kubwa sana. Hata Mimi nilitaka kufuga ila kilichonishinda ni gharama za kuwatunza hizo week nne. Usiku kuamka kuwaangalia au kuhakikisha wana joto sahihi. Nikaona Bora nifuge kuroiler na Malawi. .
Ina maana huko uliko Hakuna wanaouza vyakula vya broilers?
Kweli ila kuku broiler sasa wako Bei juu. Ukiweza Fuga kipindi Cha baridi ambacho wengi wanaogopa kufuga utapiga Hela sana. .Wapo sana tu sema ni vile kutaka kusave, vyakula vyake bei sana, isitoshe pia kuna kutetereka kiuchumi
Watu hawapendi maendeleo kabisaUzi kama huu sijui kwanini hauna wachangiaji
🤣🤣Au ulete uzi wowote wa mapenzi
Chukua special. Chukua pumba debe 4, dagaa sado nne, pumba ya dengu sado mbili changanya, zimua na hicho cha dukani. Hiki wape baada ya umri wa wiki mbiliWapo sana tu sema ni vile kutaka kusave, vyakula vyake bei sana, isitoshe pia kuna kutetereka kiuchumi