Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Iko vizuri....and thats what she decided sema tu kakataa uke wenza kamwambie mme aende kwa mke wake mwingine. Kakataa kuitwa mke wa kwanza. Kamwambia jamaa alikochagua ndo huko aende. Yeye anabaki na familia..watoto. atawalea atawatunza. Kasema imani yake hairuhusu ndoa ya watu wengi so she.let the man go. Niliwaambia she is financially stable. Sema tu saivi mke mdogo anamchokoa chokoa na vijipost mtandaoni insta huko ili tu ajibu. Yeye yuko busy na maisha yake she launched a foundation recently. Yuko so composed ila ndo ivo
😂😂😂
Huyo mke mdogo wala asidili naye, maana kudili na mtu wa chini yako ni kujishusha thamani na kumpandisha thamani huyo bibiye.
Apige Sanctions za kutosha kaa huyo mwanaume ili aonyeshe Uanaume wake kama Urusi anavyoonyesha huko Ulaya.
Akishamuongezea majukumu na vikwazo kitakachofuata ni Stress,
Wakati anastress yeye azidi kupendeza na kuwa Mtoto JoJo ili Sisi kina Taikon tuombe kujiunga NATO, hiyo itamfanya azidi kuchanganyikiwa.
Akiwa katikati ya Stress na kuchanganyikiwa aratibu mpango wa kumtishia kuvunja Ndoa,
Hata kama Rafiki yako anakipato haimaanishi ndio ampuuzie.
Lazima ampime kweli ni mwanaume kweli