Formula za chakula cha kuku

Formula za chakula cha kuku

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
214
Reaction score
448
Habari wana Jf!

Naombeni anaejua namna ya kutengeneza chakula cha kuku broilers na layers. Hasa zile formulas zinazotumika viwandani kwenye makampuni kama silverlands n.k
 
Usichoke watakuja lakini mkuu ni gharama kujitengenezea chakula labda uwe unauza pia
 
Formula anaweza kupata lakini kupata mali ghafi za kufikia kiwango kizuri cha ubora ndio tatizo ikiwa atatengeneza kwa kiwango kikubwa
 
Mkuu unataka formula ya kiwanda unataka kuanzisha kiwanda au?, anyway formula ya kiwanda kuipata si rahisi na hata ukiipata gharama ya mali ghafi yake si ya kitoto, unataka kuanza kutengeneza chakula cha kuuza au ni kwa ajili ya kuku ulionao?
 
Yani nataka nitengeneze chakula kwajili ya kuku wangu mwenyewe ambao nawafuga kibiashara. Sasa tatizo huku mtaani ukienda kwenye duka wanalouza vyakula vya kuku unakuta kila mmoja ana formula yake,,,sasa atleast ingepatikana standard formula ingesaidia sana
 
Sawa mkuu, mimi pia kuna kipindi niliitafuta sana sikuwahi kuipata ambayo ni ya kuaminika kwa ajili ya broilers, niko na briilers 1000pcs natafuta namna ya kupunguza gharama za chakula ili kuongeza kidogo faida kwa kuwa chicks bei imeruka sana.
 
Umepata wapi vifaranga vya broiler vingi hivyo!! Maana kila kampuni ninalogusa kuna foleni ya ajabu. Sijui nini kimetokea broilers wakahadimika ivi
 
Kaka nilikaa kwenye foleni mwezi mzima!
Hivi ni lazima kununua vifaranga wa Kuroiler kwenye makampuni? Ina tofauti gani na wanaototolesha mayai ya kuroiler mitaani?msaada please.

Kuhusu formula ya chakula ni kazi sana kuipata moja. Kwa sababu kila stage ya kuku anahitaji content tofauti. Protein content ya kifaranga sio sawa na wanaotaga na sio sawa na wa nyama. Cha muhimu percentage composition za ingredients za muhimu kwenye kila kilo 100 kisha unapiga ratios

Hutapata exactly kama cha viwandani
 
Binafsi nadeal sana na broiler hao kuroiler sijawahi kuwafuga.
 
Hivi ni lazima kununua vifaranga wa Kuroiler kwenye makampuni? Ina tofauti gani na wanaototolesha mayai ya kuroiler mitaani?msaada please.

Kuhusu formula ya chakula ni kazi sana kuipata moja. Kwa sababu kila stage ya kuku anahitaji content tofauti. Protein content ya kifaranga sio sawa na wanaotaga na sio sawa na wa nyama. Cha muhimu percentage composition za ingredients za muhimu kwenye kila kilo 100 kisha unapiga ratios

Hutapata exactly kama cha viwandani

Makampuni wao wanatotolesha kwa kuangalia vitu vingi ikiwemo ubora wa mayai yanayototoleshwa, wana control magonjwa pia kwamfano yai ambalo lina bacteria wa salmonella(typhoid) likitotoleshwa kifaranga kinazaliwa na huo ugonjwa hii inasababisha surviving rate ya hicho kifaranga kuwa ndogo sana vifaranga vingi hufa.

Kikubwa ni ubora wa mayai na control of disease pia kuna chanjo huwa wanapewa hawa vifaranga wakiwa na siku moja ambayo huwa wanapewa huko kwenye hatchery zao inaitwa Marek’s vaccine

Huku mtaani hawajali sana hivyo vitu, wao ni kuweka tu mayai kwenye incubators[emoji23][emoji23]
 
Asante mtaalamu. Umenifumbua sana. Nitaanza tabia ya kustick na kampuni
 
Makampuni wao wanatotolesha kwa kuangalia vitu vingi ikiwemo ubora wa mayai yanayototoleshwa, wana control magonjwa pia kwamfano yai ambalo lina bacteria wa salmonella(typhoid) likitotoleshwa kifaranga kinazaliwa na huo ugonjwa hii inasababisha surviving rate ya hicho kifaranga kuwa ndogo sana vifaranga vingi hufa.
Kikubwa ni ubora wa mayai na control of disease pia kuna chanjo huwa wanapewa hawa vifaranga wakiwa na siku moja ambayo huwa wanapewa huko kwenye hatchery zao inaitwa Marek’s vaccine

Huku mtaani hawajali sana hivyo vitu, wao ni kuweka tu mayai kwenye incubators[emoji23][emoji23]
Sasa kariri hivi..

Wale wa kiwandani ni uzao wa kwanza na mara nyingi huwa na matokeo mazuri.

Wale wa mtaani ni uzao wa pili na mara nyingi huwa na matokeo mabovu.

Yani we kariri hivyo.

Cc HDMI Mwasapile
 
Hakuna agent mwenye vifaranga humu atuuzie.
 
Boss kupata formula za viwandani nichangamoto sana mana zile zinakua na usajili na ni watu wachache viwandani wanao zijua ila mm nina uzoefu nime fanya kazi kampuni x ko ukihitaji nitakupa muongozo kama upo dar namba yangu 0744857479
 
Formula anaweza kupata lakini kupata mali ghafi za kufikia kiwango kizuri cha ubora ndio tatizo ikiwa atatengeneza kwa kiwango kikubwa

yes kwakweli ubora ndio tatizo mimi mwenyewe huwa natumiaa za kampuni ya silver bt this tym around chakulaa chao cha broiler hakijatimiza vigezo so kuku wamesuaa suaa kwenye ukuaji ambapo imebidi tuwataarifu kuwa chakulaa chao sio kizuri so ndo tunangaliaa kwenye grower itakuwaje manake naonaa body weight imeanza kupanda manake ilikuwa inashuka badala ya kupanda
 
Habari wana Jf!

Naombeni anaejua namna ya kutengeneza chakula cha kuku broilers na layers. Hasa zile formulas zinazotumika viwandani kwenye makampuni kama silverlands n.k

kuna vyakula aina tatu vya kuku mpkaaa anakuaa sasa ndugu yangu ww unataka formula ya chakulaa gani kuna cha broiler,grower na finisher ww unataka formulaa ipi manake ya kutengeneza mwenyewe najuaa kuna vitu itakosaa na itakucost kwenye ukuaji badala ya siku 30 utajikutaa umezidisha siku so inakuwa ni hasaraa
 
Shekhe hizo zinauzwa alafu bei ghali mfano ya stastar inauzwa laki , na unatakiwa uwe Nazi kama 3, jambo lingine chakula cha kuku husagwa na kuchanganywa kwa MASHINE yake maalum ambayo huuzwa ghali, na kile chakula husagwa kwa kiwango cha kipimo maalum, inaanzia na robo tani ambapo utapata mifuko ya 25kgs 10 swali je una kuku WA kula chakula hicho na kumaliza ndani ya wiki? Kama hauna kuku wa kutosha achana na wazo la kutengeneza chakula,ila malighafili zake kama upo dar zinapatikana kwa urahisi sanaaa,na ukiwa tayali njoo mp nikuulie hiyo fomla ukatengeneze , unaweza kuja mp au WhatsApp +255785332010 pia waweza piga kwa no +255719103409 Karibu nikuhudumie muteja
 
Nauliza pia , ratio ya chakula kwa kuku wa kienyeji na chotara , mwenye uelewa. Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom