Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka formula ya kiwanda unataka kuanzisha kiwanda au?, anyway formula ya kiwanda kuipata si rahisi na hata ukiipata gharama ya mali ghafi yake si ya kitoto, unataka kuanza kutengeneza chakula cha kuuza au ni kwa ajili ya kuku ulionao?
Sawa mkuu, mimi pia kuna kipindi niliitafuta sana sikuwahi kuipata ambayo ni ya kuaminika kwa ajili ya broilers, niko na briilers 1000pcs natafuta namna ya kupunguza gharama za chakula ili kuongeza kidogo faida kwa kuwa chicks bei imeruka sana.Yani nataka nitengeneze chakula kwajili ya kuku wangu mwenyewe ambao nawafuga kibiashara. Sasa tatizo huku mtaani ukienda kwenye duka wanalouza vyakula vya kuku unakuta kila mmoja ana formula yake,,,sasa atleast ingepatikana standard formula ingesaidia sana
Sawa mkuu, mimi pia kuna kipindi niliitafuta sana sikuwahi kuipata ambayo ni ya kuaminika kwa ajili ya broilers, niko na briilers 1000pcs natafuta namna ya kupunguza gharama za chakula ili kuongeza kidogo faida kwa kuwa chicks bei imeruka sana.
Kaka nilikaa kwenye foleni mwezi mzima!Umepata wapi vifaranga vya broiler vingi hivyo!! Maana kila kampuni ninalogusa kuna foleni ya ajabu. Sijui nini kimetokea broilers wakahadimika ivi
Hivi ni lazima kununua vifaranga wa Kuroiler kwenye makampuni? Ina tofauti gani na wanaototolesha mayai ya kuroiler mitaani?msaada please.Kaka nilikaa kwenye foleni mwezi mzima!
Binafsi nadeal sana na broiler hao kuroiler sijawahi kuwafuga.Hivi ni lazima kununua vifaranga wa Kuroiler kwenye makampuni? Ina tofauti gani na wanaototolesha mayai ya kuroiler mitaani?msaada please.
Kuhusu formula ya chakula ni kazi sana kuipata moja. Kwa sababu kila stage ya kuku anahitaji content tofauti. Protein content ya kifaranga sio sawa na wanaotaga na sio sawa na wa nyama. Cha muhimu percentage composition za ingredients za muhimu kwenye kila kilo 100 kisha unapiga ratios
Hutapata exactly kama cha viwandani
Hivi ni lazima kununua vifaranga wa Kuroiler kwenye makampuni? Ina tofauti gani na wanaototolesha mayai ya kuroiler mitaani?msaada please.
Kuhusu formula ya chakula ni kazi sana kuipata moja. Kwa sababu kila stage ya kuku anahitaji content tofauti. Protein content ya kifaranga sio sawa na wanaotaga na sio sawa na wa nyama. Cha muhimu percentage composition za ingredients za muhimu kwenye kila kilo 100 kisha unapiga ratios
Hutapata exactly kama cha viwandani
Asante mtaalamu. Umenifumbua sana. Nitaanza tabia ya kustick na kampuniMakampuni wao wanatotolesha kwa kuangalia vitu vingi ikiwemo ubora wa mayai yanayototoleshwa, wana control magonjwa pia kwamfano yai ambalo lina bacteria wa salmonella(typhoid) likitotoleshwa kifaranga kinazaliwa na huo ugonjwa hii inasababisha surviving rate ya hicho kifaranga kuwa ndogo sana vifaranga vingi hufa.
Kikubwa ni ubora wa mayai na control of disease pia kuna chanjo huwa wanapewa hawa vifaranga wakiwa na siku moja ambayo huwa wanapewa huko kwenye hatchery zao inaitwa Marek’s vaccine
Huku mtaani hawajali sana hivyo vitu, wao ni kuweka tu mayai kwenye incubators[emoji23][emoji23]
Sasa kariri hivi..Makampuni wao wanatotolesha kwa kuangalia vitu vingi ikiwemo ubora wa mayai yanayototoleshwa, wana control magonjwa pia kwamfano yai ambalo lina bacteria wa salmonella(typhoid) likitotoleshwa kifaranga kinazaliwa na huo ugonjwa hii inasababisha surviving rate ya hicho kifaranga kuwa ndogo sana vifaranga vingi hufa.
Kikubwa ni ubora wa mayai na control of disease pia kuna chanjo huwa wanapewa hawa vifaranga wakiwa na siku moja ambayo huwa wanapewa huko kwenye hatchery zao inaitwa Marek’s vaccine
Huku mtaani hawajali sana hivyo vitu, wao ni kuweka tu mayai kwenye incubators[emoji23][emoji23]
Formula anaweza kupata lakini kupata mali ghafi za kufikia kiwango kizuri cha ubora ndio tatizo ikiwa atatengeneza kwa kiwango kikubwa
Habari wana Jf!
Naombeni anaejua namna ya kutengeneza chakula cha kuku broilers na layers. Hasa zile formulas zinazotumika viwandani kwenye makampuni kama silverlands n.k