Formular ya kutengeneza chakula cha kuku (Broiler Starter)

Formular ya kutengeneza chakula cha kuku (Broiler Starter)

Heshima yako mkuu, Naomba unipatie grower pamoja na finisher formula.
 
Kama upo na swali waweza uliza nitakusaidia.
Mkuu nashukuru kwa formula, Kama hautojali unaweza kufafanua kidogo, kwa maana ya gharama ya kila ingredient inayotumika kutengeneza chakula, ili angalau kupata picha ya gharama inayoweza kufika kwa mfuko 1 wa chakula? ili kuona na kulinganisha pengine formula inaweza kufaa ili kupunguza makali ya kununua chakula toka madukani?
 
Back
Top Bottom