Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Chukua kumi ntakulipiaNINA UZA MASHUDU YA ALIZETI KILO 350. ZIPO TANI 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua kumi ntakulipiaNINA UZA MASHUDU YA ALIZETI KILO 350. ZIPO TANI 20
Mkuu nashukuru kwa formula, Kama hautojali unaweza kufafanua kidogo, kwa maana ya gharama ya kila ingredient inayotumika kutengeneza chakula, ili angalau kupata picha ya gharama inayoweza kufika kwa mfuko 1 wa chakula? ili kuona na kulinganisha pengine formula inaweza kufaa ili kupunguza makali ya kununua chakula toka madukani?Kama upo na swali waweza uliza nitakusaidia.