Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Moderator Tunakuomba ufanyie editing hii post kuiambatanisha na post namba 1
 
📌📌📌📌
 
Mtu siku kumi hali hafu useme alikuwa kwa shetani? Njaa imemuua. Maana kama sio njaa shetani angemlinda aifanye kazi yake vema
Wewe umejuaje kama hakwenda na chakula of course Sina uhakika na hii simulizi but Kuna mambo yametajwa humu Yana make sense mfano Kuna member amemtaja shekhe ramia alikuwa bagamoyo huyo pia alitumika ktk hiyo michakato hata kina Mzee wa msoga walikuwa wanakwenda kwake mara nyingi tu na hili halina kificho
 
Duuuuh historia nyeti hii
 
Magufuli aliacha kukimbiza mwenge mwaka 2020 kisa COVID 19 na hakuchukua muda akafariki.

Mama Samia kaendeleza desturi ya kukimbiza mwenge.

Mwenge ni ushirikina mkubwa nchi hii kila anayejaribu kuupiga vita anakwenda anauacha. Ndiyo maana viongozi huwa wanaweweseka sana wakisikia mwenge unatembelea maeneo yao
 
Hakika, kuna mengi hatuyajui kuhusu huu moto uitwao Mwenge
ni historia ambayo watanzania walio wengi wangependa kuifahamu kiundani na uhalali wake pia kwa sababu tuliowengi hatujui ni nini hasa chanzo cha huu mwenge na ulazima wake wa kuzungushwa karibu nchi nzima kila mwaka
 
Kuna jamaa flani kwenye You tube channel ya Davista Mata alisimulia hii ishu kama ilivyo. Huenda ni story ya kweli sasa
 
Acha inyeshe tuone panapovuja maan stori zingine dah
 
Umesahau shehk mnyeshan huyu ni mzaliwa WA Tanga na alikuw kjana mdogo kuliko wte
 
...Pamoja na Kuzindikwa huko, kama kweli kulikuwepo. Nyerere akafa Kifo Cha Kawaida kama Wanavyokufa Binadamu wengine...!!
 
Moja kati ya hadithi ngumu nilizo wahi kusoma!

- kuna mahali humu mtu aliongea kitu ikabidi nije nirudie kuisoma hii, mara ya kwanza niliisoma nikiwa high, kutokana na sentesi ile nikahisi kuna mahala sikuelewa, aliongea kawaida na si rahisi kumtilia maanani ila nilitoka swali ambalo nikahisi pengine sikuelewa hii story -

" Wa tz tumelogwa na mwenge na ndio maana tunaishiaga kwenye majanga ya moto " yaani mwenge unatuzuzua "

- means hua tuna kawaida likitokea janga mathala gari imeanguka au taharuki yoyote inayoweza kusababisha ajali ya moto, badala ya kukaa mbali na eneo hilo na kuchukua tahadhari, sisi hua tunaenda kujirundika ilihali tumesha ona na tunajua chochote kinaweza kujiri, japo tumekua wahanga mara nyingi kwenye matukio kama hayo "

  • kuna siku natokea mwenge kuelekea tegeta, kufika kituo kipya, (ukisha vuka mataa ya africana kuna kituo kinaitwa rafia sasa hiki kituo kipya kinafuata, kabla hujavuka mataa ya mbuyuni njia panda kunduchi ),
  • hapa tulikuta foleni, japo ukichungulia taa unaona kijani inawaka ila gari hazitembei, hua ni kawaida maana hii road ina misafara mara kwa mara,
  • kilicho nigutusha nikaona gari ya kampuni fulani ya ulinzi rangi ya orange (colour blind ) ghafla ina hangaika kupanda ukuta hatimae ikapanda na kuanza kutembea kwenye bustani, ikatua upande wa pili na kupita wrong site upande wa gari zinazotoka tegeta kwenda mwenge, ikapotea, huku tulipo mbele huoni vizuri sana maana pale ni muinuko na kuna kama kona kidogo,
-baada ya muda gari zikaanza kusogea, tukawa tunaona moshi mwingi juu unao toka sheli iliyopo kulia ukiwa unaenda tegeta pembezoni mwa barabara hapo hapo kwny njia panda kunduchi,
  • watu walikua wamerundikana kwa karrrrriiiibu kabisa na kituo hicho cha mafuta ilihali mbele yao kulikua na janga la moto lilikua linaendelea, kuna gari nyingine ya kampuni ile ya ulinzi ilikua inaungua ikiwa hapo hapo sheli huku kuna team ikiwa ina hangaika kuizima kikiwapo kijiko(greda), kilikua kinaenda kuzoa kifusi cha mchanga na kuja kuifunika ile gari.
  • Kinacho tuloga ni nini!!? ili hali unaona ni kituo cha mafuta kina mzigo wa mafuta ambayo moto ukipata upenyo kidogo tu ni bomu la kuangamiza mahali pakubwa tu nadhani kwa palivyo pale pakibutuka athari zake ni mpaka upande wa pili wa barabara, ila huwezi amini bado kuna watu walikua wanashuka kwenye magari na kwenda kurundikana pale, bado wengine walikua wanatokea upande wa pili kukimbilia pale, bodaboda kama wote wamejazana pale kwny mlango wa kuingia kwny hicho kituo cha mafuta, ambapo watu wanahangaika kuzima hilo bomu!
  • Na majanga karibu yote ya moto ndivyo ilivyo mbali na maafa yote ambayo yamekua yakitokea lakini tunakua kama mapoyoyo flani,
-binafsi wakati hayo yanaendelea mimi nilikua nashindana na jinsi ya kujinasua kwenye huu mkataba wa kiibilisi, nilikua na piga sana mihoni, wakunipisha wakanipisha, wa kwenda nae nikaenda nae nikapaacha pale palivyo, maana nilipaona kama jiko la kuchomea mishikaki pale whatsapp_kibo! Je haya mambo kiroho yana uhusiano wowote.[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing serious, mawazo yangu tu hayo, kama kuna wakuyasawazisha[emoji848]
 
Yaani Shetani awe na Roho mby kiasi cha kumnyima Chakula Mzee Ganzel! Inashangaza
 
Duh!!..
 
Kwa mantiki hiyo sisi tuna kazi maana hata tukisema tukabidhi kwa Mungu Yehova Ni was Israel,mungu Allah Ni wa Arab,mungu Mbee Ni wa India,Sasa hapo tubaki tu na Mwenge uliotoka mapango ya mizimu
 
Hawa washirikina wote walikuwa ni dini ya wavaa kobaaz. Ivi kuna uhusiano gani kati ya dini hii ya Mwinyaaz na mambo ya kishirikina? Hawa mambanga walizindika nchi badala ya kwenda kuwauliza watumishi wa Mungu wao wanaenda kuongea na mizimu. Huyu Nyerere alikuwa mpumbavu sana kuweza kukubali uo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…