Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

kwa maana nyingine unamaanisha kuwa neno 'harambee' ni mantra? (mantra ni neno maalum lenye energy ambalo likirudiwa mara nyingi lina produce a certain effect}.

ujue hata wayahudi kina ben Gurion mwaka 1948 nchi yao waliamua waiitie ISRAEL ikiwa ni muunganiko wa majina ya miungu wao watatu ISIS, RA, na ELOHIM. Isije ikawa huyu HAR ikawa ni corruption ya jina RA au RAMA wa mahabarata.
 
ni historia ambayo watanzania walio wengi wangependa kuifahamu kiundani na uhalali wake pia kwa sababu tuliowengi hatujui ni nini hasa chanzo cha huu mwenge na ulazima wake wa kuzungushwa karibu nchi nzima kila mwaka
 
Mi' na mwenge ni mbalimbali niliustukia kitambo kuwa sio kitu kizuri kuushuudia .......
......ni ibada za kishetani zile, kuanzi mambo yanayotendeka pale unapolala ..... full ukimwi na kutina umaskini!!:target::A S-devil4::A S-devil4:
 

Kaka una stori nzuri sana yenye faida kwa watanzania wengi umeianzisha mwenyewe lakini nasikitika kila ukiulizwa FOROJO GANZE ni vipi alihusika na mwenge maelezo yako huyatoi yote kwa maelekezo utafutwe ndipo useme kila kitu sasa kama uliona ni siri kwa nini uliandika humu jf na kutuweka roho juu wana jf?

Kuna mzungu mmoja kigoma alimuua muha mmoja baada ya huyo muha kumuonyesha kuwa anao uwezo wa kumpeleka ulaya bila kupanda ndege na jaribio lilifanyika na mzungu akafika kwao kwa usiku mmoja na akarudi kigoma lakini jambo la kusikitisha mzungu alipotaka kufundishwa elimu ile ya kwenda ulaya bila ndege na kurudi Tanzania kwa usiku mmoja muha alileta za kuleta alibembelezwa mpka kwa fedha lakini akatia ngumu mzungu akaona hapa dawa yake ni kumtwanga shaba tu na kweli yule jamaa akauwawa.

Sasa wewe unatuanzishia jambo kubwa kama hili la mwenge halafu unaanza kurukaruka maana yake nini? Kumbuka madhara ya mwenge ni makubwa kwa nchi yetu na pia gharama zake ni kubwa lakini aslimia 99.9 ya watanzania wote hatujui maana yake sasa hebu weka mambo hadarani tujue siri ya urembo usiwe na hofu kwakuwa unatumia pen name fanya kweli.
 

nimeipenda
 
samahani sana wana jf kwa kukaa kwangu kimya juu ya hii story kama mnavyojua wengi tumetokea mashambani hivyo nilikuwa kijijini kwetu kwa muda mrefu kidogo,kwa wale wanaohoji kuwa huyo Forojo Ganze anarelate vp na mwenge wa uhuru,tafadhali asome vzuri maeno aliyoyataja forojo ganze na ktk maneno hayo mwalimu alibuni mwenge wa uhuru bila kiujua ulikuwa na maana gani.

Unaweza kujiuliza ilikuwaje mwalimu aanzishe mwenge bila kujua maana ake, jibu ni rahisi kwamba bwana Ganze alikuwa ni mchawi wa kutumainiwa ktk taifa hili na viongozi wake ktk harakati za kudai uhuru, pili litamka maneno hayo akiwa hoi kutokea bagamoyo ambako alikwenda kumuuliza shetani tufanye nn ili nchi ya tanzania iendelee na alikwenda huko akiwa ametumwa na na mwalimu pamoja na viongozi wengine,lakini alichokutana nacho ndani ya shimo hilo hadi leo hatujui maana alirushwa nje na akachukuliwa na shehe Yahaya Hussein akiwa hoi hajiwezi na alikuwa akiongea lugha isiyofahamika.

kwahiyo watanzia sisi tumewekwa rehani kwa shetani,ili muweze kujua zaidi mambo haya nitaingiza thread inayohusu zindiko la nchi tulilofanyiwa kule lindi na ndiyo utaona wenzake na forojo ganze walishiriki kikamilifu na utaona baadhi ya watu mashuhuri pengine unaowafahamu,na ndiyo maana lindi haiendelei na haitaendelea kamwe,Mambo haya ni mwendelezo wa uchawi unaokimbatiwa na baadhi ya viongozi wetu ktk kutuweka kwa shetani
 
Mkuu niliipata story kama hii kwa bwana mdogo mmoja ambaye ana mapepo, anasema huwa yanamwonesha mambo mengi kuhusu mazindiko aliyoyafanya Nyerere kule bagamoyo na makosa yaliyofanyika. Inaendana na hii kwa kiasi kikubwa na hii ingawa yule dogo huwa anaongea hivyo vitu akiwa possesed, na ni binti wa miaka 14, mwanzo nilikuwa siamini but now I'm connecting the dots.
 
Halafu kuna mp**zi mmoja humu huwa anadai ati waislam ndo walopigania uhuru wa nchi hii, kumbe ana haki ya kudai, maana wakati wakristo wako kanisani kuikabidhi Tanzania kwa Bwana, Waislam wako Bagamoyo shimoni (iangalie hiyo crew, imejazwa na mabazazi wa nchi (mashekhe) wakiongozwa na huyo jini mtu Yahya.

Halafu eti Nimempa rais Kikwete ULINZI usioonekana, na hakuna wa kumgusa na rais anachekelea tu!
Ndio maana hatuna maendeleo nchi hii.
Uislam ni Janga la Dunia
CC: Mohamed Said BONGOLALA MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
coment yako yaonesha hauna busara, unataka kuharubu thread, wenye busara wamekushtukia
 

hiyo ni hali halisi kabisa na huyo mtoto huongozwa na mapepo yenyeuhusiano na jambo hili kimwonekano,bagamoyo ndilo eneo palipo uawa nhi yetu kimaendeleo,kielimu,kiuchumi na kadhalika,baada ya kuuawa kwa taifa letu hapo bagamoyo likaenda kuzikwa kule Lindi kwa zindiko la nchi,kunawatanzania wenzetu wanateseka hadi kesho pale lindi ndani ya shimo lizungukalo wakiwa wamewekwa humo kama zindiko,hii mada ya zindiko nitawaletea hiv karibuni muone tulivyowekwa gizani kwa bila kujijua watanzania.

Wanalindi watakuwa masikini hadi kufa kwao kizazi na kizazi,pia utatambua ni kwann Jackson Makweta chaguo la watanzania na mkombozi wa taifa kutoka ukoloni mamboleo hakuchukua urais mwaka 1995 na akazimwa kama mshumaa kisiasa hadi umauti ulipomkuta,lakini pamoja na hayo alikufa akiililia tanzania na watu wake,ZINDIKO LA LINDI LILIFANYA KAZI
 

Acha uongo_Tanzania ni maskini kwasababu watu wake wengi wana mawazo ya hovyo hovyo kama ya kwako i.e iman za uchawi na ulozi kama unavyowaza na kuamini wewe ndio mnyororo unaoifunga hii nchi.
 

sasa "bwana mdogo" halafu ni bint tena?
 
Acha uongo_Tanzania ni maskini kwasababu watu wake wengi wana mawazo ya hovyo hovyo kama ya kwako i.e iman za uchawi na ulozi kama unavyowaza na kuamini wewe ndio mnyororo unaoifunga hii nchi.

utabaki hivyohivyo na ujinga wako,wewe kama unamawazo mazuri umeifanyia nn tanzania kama siyo uchizi ulionao,Soma alama za nyakati mbulula wewe
 
utabaki hivyohivyo na ujinga wako,wewe kama unamawazo mazuri umeifanyia nn tanzania kama siyo uchizi ulionao,Soma alama za nyakati mbulula wewe

ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_nafikiri wewe ndio mjinga mkuu_unaleta habari za kumbi na kumbinga ambazo haukuwepo na hauna ushahidi nazo,.sasa sijui hilo ndio unaifanyia Tanzania vizuri...!....haya kila la kheri na story yako ya mwenge mkuu
 
ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_nafikiri wewe ndio mjinga mkuu_unaleta habari za kumbi na kumbinga ambazo haukuwepo na hauna ushahidi nazo,.sasa sijui hilo ndio unaifanyia Tanzania vizuri...!....haya kila la kheri na story yako ya mwenge mkuu

inaonekana wewe haujasoma mbulula wewe,historia umesoma wewe ----- au unaongea tuu,waulize wanahistoria waliyoyaandika ktk vtabu walikuwepo kuyashuhudia,acha ujunga wewe gamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…