Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

inaonekana wewe haujasoma mbulula wewe,historia umesoma wewe ----- au unaongea tuu,waulize wanahistoria waliyoyaandika ktk vtabu walikuwepo kuyashuhudia,acha ujunga wewe gamba

Kwani elimu ni nini mkuu...?,...elimu sio kutunga na kusingizia mambo bila ushahidi mkuu.

By the way_kama tatizo ni hilo la kutambikia na kukabidhiwa kwa shetani,..ningekuona wa maana na mtu msomi(kama unavyojipambanua) kama ungekuja na way forward on how to deal with it eg,..sala na toba(maombi) etc,etc...kuliko unavyolalama na kusingizia ujinga kwamba ndio source ya matatizo/umaskin wetu,...tatizo ni umbulula wa viongozi na watu wake katika kufanya maamuzi ya busara kwenye mambo ya msingi.
 
Mimi ntakuwa wa mwisho kuamini hii story....

IGWE hii stori ni ya kweli,kama ukitaka ushahidi nenda bagamoyo,jaribu kuwauliza wale wanaofanya kazi za utalii kwenye mambo ya kale,watakuonyesha mpaka sehemu aliyolala hayati Mwalimu Nyerere kwenye makaburi wakati wa matambiko,na mimi niliamini hii stori mana kuna watu wawili wengine pia walinithibitishia, moja alikua mzee moja umri wake umefika kama 80 au 90 hivi sasa jina nalihifadhi ni mkazi wa bagamoyo na alikuepo wakati wa matambiko na kijana moja mtoto wa mzee ramadhani na wengine wengi tu
 
Huyu Forojo Ganze,alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo,walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere),zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo,zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee,Forojo Ganze ndiye mtu pekee aliyeingia ktk hilo shimo kwaajili ya kuuliza,alikaa huko kwa muda wa siku 10 huku akiwa amewaacha wenzake nje wakimgoja atakuja na jibu gani ili wakampatie rais na wazee wa Dar es salaam,kilichoshangaza siku ya kumi na moja alitoka akiwa hoi hajiwezi akiwa kama mtu aliyepigwa na alikuwa anaongea lugha isiyofahamika,wenzake wakiwa wanaongozwa na Yahaya Hussien walimbeba hadi ikulu Dar es salaam na walipomfikisha mbele ya mwalimu Nyerere alitamka maneno hayo yanayohusu mwenge kwa kiswahili kisha akanyoosha juu mkono wake wa kulia ambao tayari ulikuwa umeandikwa namba hii 115,kisha akakata roho,baada ya mazishi mwalimu aliyafanyia kazi maneno ya Forojo Ganze akaanzisha mwenge wa uhuru bila kujua ulikuwa na maana gani,baada ya hapo aliwagiza yahya Hussein atafasiri maana ya ile namba 115,kama kawaida ya shehe Yahaya alitafasiri akamwambia kuwa namba hiyo inamaanisha "utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38,hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115,na hii ndivyo ilivyokuwa,mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115) pia utamaduni wa rais kuongea na wazee wa Dar es salaam unaendelea hadi sasa na wamekuwa na maamuzi ya kitaifa na husikilizwa sana wanachokisema,mbona haijawahi kutokea rais akaongea na wazee wa bukoba jambo la kitaifa?,zindiko la bagamoyo linafanya kazi ,Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni. 1.mzee ramadhan,alizaliwa mwaka 1920,2.Ally tarazo(1929),3.Komwe wa Komwe(1918),4.Sheihe Yahya Hussein(1925),na 5.Forojo Ganze (1902)

mkuu umemsahau marehemu mohamed ramiya
 
Daa! Amazing! Kwanini mwananthropolojia na NSWECKY Msikae chini na kutunga/kuandika kitabu ambacho mnaweza kukipa jina la HISTORIA ILIYO SAHAULIKA au jina jingine lolote lile? Binafsi nimependa masimulizi yenu ingawaje yanahitaji ushahidi kidogo. Nawasilisha

mkuu ipo siku ila kwa sasa haitawezekana ila ni historia muhimu sana katika taifa letu na mashahidi wapo ingawa the original wenyewe wameshatutoka ila waliowasindikiza na waliokuepo karibu wakati matukio hayo yanatokea bado wazima na wengine wamerithishwa shughuli hizo
 
IGWE hii stori ni ya kweli,kama ukitaka ushahidi nenda bagamoyo,jaribu kuwauliza wale wanaofanya kazi za utalii kwenye mambo ya kale,watakuonyesha mpaka sehemu aliyolala hayati Mwalimu Nyerere kwenye makaburi wakati wa matambiko,na mimi niliamini hii stori mana kuna watu wawili wengine pia walinithibitishia, moja alikua mzee moja umri wake umefika kama 80 au 90 hivi sasa jina nalihifadhi ni mkazi wa bagamoyo na alikuepo wakati wa matambiko na kijana moja mtoto wa mzee ramadhani na wengine wengi tu

Nimekuelewa mkuu......thanx.
 
Hebu wanahistoria tuleteeni historia ya matumizi ya mwenge ktk mataifa mengine. Nimeshawahi kusikia kuwa China nayo inayo au imepata kutumia mwenge, na hayati mwl Nyerere aliiga wazo la mwenge tokea huko. Tujuzeni!
 
Another piece of trash! Hulka ya kutoa majibu mepesi kwa mambo magumu inaangamiza taifa. Tuache kuwa wavivu wa kufikiri na kujibidisha kupata kipato halali kwa manufaa yetu.
 
Mkuu jambo usilolijua ni kama usiku wa giza totoro.

Kuna mambo mengi ya historia ya nchi yetu yaliyofichika na wale tu walio wadadisi ndio tunayafahamu.
Habari ya ulozi, matambiko na mazindiko ni habari ya kweli kabisa maana hata Kambarage alikuwa akikiri wazi kuhusika na mambo haya.

Katika moja ya hotuba za JK Nyerere, alishawahi kusimulia namna alivyofanyiwa tambiko na wazee wa Mzizima(Dar es Salaam wakati huo). Tukio hilo lilifanywa na wazee wengi na aliwataja kwa majina na jina mojawapo nilikumbukalo ni Mzee Tambaza.
Aliendelea kwa kuzungumza namna alivyolazwa kwenye shimo mithili ya kaburi, namna alivyoruka damu mbichi ya mbuzi wa zindiko iliyonyunyizwa chini.

Hayo yote yalifanywa wakati anajiaandaa kwenda Umoja wa Mataifa, kwenda kudai haki ya Tanganyika kujitawala yenyewe kutoka kwa Serikali ya Uingereza. Alisimulia kwa urefu tu nami sina wasaa wa kunukuu kila kitu.

ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_nafikiri wewe ndio mjinga mkuu_unaleta habari za kumbi na kumbinga ambazo haukuwepo na hauna ushahidi nazo,.sasa sijui hilo ndio unaifanyia Tanzania vizuri...!....haya kila la kheri na story yako ya mwenge mkuu
 
mh. My heart was racing reading all this.

Sasa hii story ya uhuru na mwenge imebaki tu kuwa oral tradition? Au kuna sehemu tunaweza kwenda kusoma?

Kunamtu kasema tukiuliza historians wa bagamoyo we can get the info. Sasa hii iko written kama other events ama yenyewe imebaki vinywani tu?

Twambieni nasi tujue kumbe nchi inashikiliwa na mashetani/miungu!! Nasikiaga hawa wazee wa Dar wanaomshauri rais, nilikuwa najiuliza kwanini wote waislamu! And i was wondering 'wazee wa Dar? Seriously? Badala yakutafuta educated people huko juu. Lol. Au ndo wana ''hekima''

sina amani!! Najuta kufungua thread.
 
hii stori ya mwenge niliisikia kutoka kwa mtu mwingine ingawa version yake ni tofauti kuhusu asili ya mwenge.mwenge wanasema ni ibada ya mungu wa kigiriki aitwaye hera na uliibwa na prometheus kutoka kwa mungu wao mkuu zeus ,na michezo ya olympic imepewa jina lake kutokana na eneo ilipokua michezo ya olympic ya kale inafanyika olympus.mwenge unaozungushwa ni ibada kwa mungu huyo,jaribu kulinganisha huo mwenge wa olympic unavyozungushwa dunia nzima haina tofauti na unavyozungushwa hapa tanzania
ulifikaje tanzania?
historia inaonyesha wakati wa long distance trade kuna watu kutoka kabila la wanyamwzi walisafiri na mungu wao ambaye alikua na nguvu sana kutoka maeneo ya tanzania interior kuja pwani,katika safari yao hiyo walipofika maeneo ya morogoro walianza kufa ,inasemekana mungu alikua mkali na kutokana na hiyo ikabid wamgawanye ,na kumwacha maeneo ya miliman ya uluguru ,ni mizimu maarufu sana nimeshahau jina wanalomwita kwa anayejua jina anaweza kunisaidia,basi katika kusafiri nae walifika mpaka bagamoyo na wakapigana vita kuwasidia wenyeji wa pale dhidi ya wakamba waliokua wametoka kaskazin,baada ya vile vita wakaloea hukohuko bagamoyo
, na najua kwamba amani ya nchi hii kwa kiasi kikubwa imeletwa na hao wazee wa bagamoyo walioenda shimoni na huo mwenge ndivyo ulivyopatikana, sema sikupata hiyo stori zaidi na ningependa kujua zaidi connection ya hizi stori 2 kwani ibada zinafanana

me mwenyewe najua origin ya mwenge ni mungu wa kipagani wa kigiriki
 
Kaka una stori nzuri sana yenye faida kwa watanzania wengi umeianzisha mwenyewe lakini nasikitika kila ukiulizwa FOROJO GANZE ni vipi alihusika na mwenge maelezo yako huyatoi yote kwa maelekezo utafutwe ndipo useme kila kitu sasa kama uliona ni siri kwa nini uliandika humu jf na kutuweka roho juu wana jf?

Kuna mzungu mmoja kigoma alimuua muha mmoja baada ya huyo muha kumuonyesha kuwa anao uwezo wa kumpeleka ulaya bila kupanda ndege na jaribio lilifanyika na mzungu akafika kwao kwa usiku mmoja na akarudi kigoma lakini jambo la kusikitisha mzungu alipotaka kufundishwa elimu ile ya kwenda ulaya bila ndege na kurudi Tanzania kwa usiku mmoja muha alileta za kuleta alibembelezwa mpka kwa fedha lakini akatia ngumu mzungu akaona hapa dawa yake ni kumtwanga shaba tu na kweli yule jamaa akauwawa. Sasa wewe unatuanzishia jambo kubwa kama hili la mwenge halafu unaanza kurukaruka maana yake nini? Kumbuka madhara ya mwenge ni makubwa kwa nchi yetu na pia gharama zake ni kubwa lakini aslimia 99.9 ya watanzania wote hatujui maana yake sasa hebu weka mambo hadarani tujue siri ya urembo usiwe na hofu kwakuwa unatumia pen name fanya kweli.

JAMANI. Hii 'hadithi' tulikuwa tukisimuliwa nikiwa mdogo! Ilitokea kweli?????

Isije ikawa na zile 'palikuwa na baba mmoja na mama mmoja' ni za kweli
 
SAMAHANI, I DONT MEAN TO CAUSE HARM, naombeni kuuliza, waarabu walipokuja watakuwa walikuja na mashetani yao eh?

Au uchawi in these lands of ours have always been there hata kabla ya waarabu?

Watu wakiongelea a 'typical african', anaongelea mtu anayeabudu miti, mawe,milima, jua. Sijawahi kusikia habari ya mapepo, wala ufanyaji miujiza.

ENLIGHTEN MEE, OOHH U ENLIGHTENED ONES
 
Back
Top Bottom