Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

inaonekana wewe haujasoma mbulula wewe,historia umesoma wewe ----- au unaongea tuu,waulize wanahistoria waliyoyaandika ktk vtabu walikuwepo kuyashuhudia,acha ujunga wewe gamba

Kwani elimu ni nini mkuu...?,...elimu sio kutunga na kusingizia mambo bila ushahidi mkuu.

By the way_kama tatizo ni hilo la kutambikia na kukabidhiwa kwa shetani,..ningekuona wa maana na mtu msomi(kama unavyojipambanua) kama ungekuja na way forward on how to deal with it eg,..sala na toba(maombi) etc,etc...kuliko unavyolalama na kusingizia ujinga kwamba ndio source ya matatizo/umaskin wetu,...tatizo ni umbulula wa viongozi na watu wake katika kufanya maamuzi ya busara kwenye mambo ya msingi.
 
Mimi ntakuwa wa mwisho kuamini hii story....

IGWE hii stori ni ya kweli,kama ukitaka ushahidi nenda bagamoyo,jaribu kuwauliza wale wanaofanya kazi za utalii kwenye mambo ya kale,watakuonyesha mpaka sehemu aliyolala hayati Mwalimu Nyerere kwenye makaburi wakati wa matambiko,na mimi niliamini hii stori mana kuna watu wawili wengine pia walinithibitishia, moja alikua mzee moja umri wake umefika kama 80 au 90 hivi sasa jina nalihifadhi ni mkazi wa bagamoyo na alikuepo wakati wa matambiko na kijana moja mtoto wa mzee ramadhani na wengine wengi tu
 

mkuu umemsahau marehemu mohamed ramiya
 

mkuu ipo siku ila kwa sasa haitawezekana ila ni historia muhimu sana katika taifa letu na mashahidi wapo ingawa the original wenyewe wameshatutoka ila waliowasindikiza na waliokuepo karibu wakati matukio hayo yanatokea bado wazima na wengine wamerithishwa shughuli hizo
 

Nimekuelewa mkuu......thanx.
 
Hebu wanahistoria tuleteeni historia ya matumizi ya mwenge ktk mataifa mengine. Nimeshawahi kusikia kuwa China nayo inayo au imepata kutumia mwenge, na hayati mwl Nyerere aliiga wazo la mwenge tokea huko. Tujuzeni!
 
Another piece of trash! Hulka ya kutoa majibu mepesi kwa mambo magumu inaangamiza taifa. Tuache kuwa wavivu wa kufikiri na kujibidisha kupata kipato halali kwa manufaa yetu.
 
Mkuu jambo usilolijua ni kama usiku wa giza totoro.

Kuna mambo mengi ya historia ya nchi yetu yaliyofichika na wale tu walio wadadisi ndio tunayafahamu.
Habari ya ulozi, matambiko na mazindiko ni habari ya kweli kabisa maana hata Kambarage alikuwa akikiri wazi kuhusika na mambo haya.

Katika moja ya hotuba za JK Nyerere, alishawahi kusimulia namna alivyofanyiwa tambiko na wazee wa Mzizima(Dar es Salaam wakati huo). Tukio hilo lilifanywa na wazee wengi na aliwataja kwa majina na jina mojawapo nilikumbukalo ni Mzee Tambaza.
Aliendelea kwa kuzungumza namna alivyolazwa kwenye shimo mithili ya kaburi, namna alivyoruka damu mbichi ya mbuzi wa zindiko iliyonyunyizwa chini.

Hayo yote yalifanywa wakati anajiaandaa kwenda Umoja wa Mataifa, kwenda kudai haki ya Tanganyika kujitawala yenyewe kutoka kwa Serikali ya Uingereza. Alisimulia kwa urefu tu nami sina wasaa wa kunukuu kila kitu.

ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_nafikiri wewe ndio mjinga mkuu_unaleta habari za kumbi na kumbinga ambazo haukuwepo na hauna ushahidi nazo,.sasa sijui hilo ndio unaifanyia Tanzania vizuri...!....haya kila la kheri na story yako ya mwenge mkuu
 
mh. My heart was racing reading all this.

Sasa hii story ya uhuru na mwenge imebaki tu kuwa oral tradition? Au kuna sehemu tunaweza kwenda kusoma?

Kunamtu kasema tukiuliza historians wa bagamoyo we can get the info. Sasa hii iko written kama other events ama yenyewe imebaki vinywani tu?

Twambieni nasi tujue kumbe nchi inashikiliwa na mashetani/miungu!! Nasikiaga hawa wazee wa Dar wanaomshauri rais, nilikuwa najiuliza kwanini wote waislamu! And i was wondering 'wazee wa Dar? Seriously? Badala yakutafuta educated people huko juu. Lol. Au ndo wana ''hekima''

sina amani!! Najuta kufungua thread.
 

me mwenyewe najua origin ya mwenge ni mungu wa kipagani wa kigiriki
 

JAMANI. Hii 'hadithi' tulikuwa tukisimuliwa nikiwa mdogo! Ilitokea kweli?????

Isije ikawa na zile 'palikuwa na baba mmoja na mama mmoja' ni za kweli
 
SAMAHANI, I DONT MEAN TO CAUSE HARM, naombeni kuuliza, waarabu walipokuja watakuwa walikuja na mashetani yao eh?

Au uchawi in these lands of ours have always been there hata kabla ya waarabu?

Watu wakiongelea a 'typical african', anaongelea mtu anayeabudu miti, mawe,milima, jua. Sijawahi kusikia habari ya mapepo, wala ufanyaji miujiza.

ENLIGHTEN MEE, OOHH U ENLIGHTENED ONES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…