Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru


ok kumbe ni agnostic! haina shida ila maswali yako ni mengi yanahitaji thread yake peke yake ila nitakujb kifupi kama kuna wataalamu wengine wanaweza kuongezea nilipopungukiwa ili tusitoke nje ya mada

yes am an anthropologist by profession a student of late profesa samuel mshana

kwanza lazima ujue kuhusu african people kwa rekodi zilizopo inaonesha kulikua kuna two migrations ya kwanza ilikua kutoka south kwenda north na sababu kubwa ni kutafta suitable environment for living ndio mana unaona mafuvu ya kale ,drawings za kale kwenye caves ,zinapatikana southern of africa kama south africa,tanzania etc kwaiyo walikua kwenye old stone age ,wakaja middle stone age angalia maeneo kama isimila iringa na reason for migration ni change of environment ,either thru floods,drought etc
ikabidi wamove north ambapo kulikua kuna suitable environment naomba ujue kwamba zamani sahara desert haikua desert kulikua kuna rich natural vegetation na wakaenda juu zaidi ambapo walienda kukutana eneo la misri ambapo wakatengeneza an empire of egypt
na migration ya pili ni kwenda south baaada ya misri ya kale kukumbwa na plague, society yote ikavunjika watu weusi wenye asili zaidi za kibantu wakaenda south west now west africa wengine wakaenda southeast now sudan,ethiopia,europes wakavuka bahari kwenda mediterenean,wenye asili kama ya kiarabu,wayahudi wakaenda north east now middle east kila mtu alienda pande tofauti unaweza kujiuliza why? according to ones specialization in relation to the environment. kwa wale wakulima nadhan unawajua wabantu SW,wale wafugaji km wanilotic SE etc na wengine waliokua watumwa waliona warudi kwao wavuke bahari. so egypt is also part of our history dont ignore it.

suala la Gods ni unategemea unaomba nini? bt katika dini ya kiafrika there is one God ambaye tunaamini alicreate dunia hao wengine tunaoomba ni small gods ambao ni kama malaika ambao wanaspecialize kwenye kazi fulani, ndio maana unaona kama kuna miungu wengi bt ukimpata mzee yeyote anyejua dini ya kiafrika na simulizi za kale atakuambia yupo creator moja bt kuna miungu wadogo(angels) au kwa kiswahili tunaita mizimu

religion was there refer to egypt bt ni kama ilikufa kwani baada ya jamii kugawanyika kila moja akawa anaomba kutokana na shida zake mkulima ataomba mvua,kwaiyo ataomba kwa mizimu inayoleta mvua,wafugaji nao hivyhivyo kwa shida zake za ,mwindaji nae anaomba kwa mizimu inayomsaidia coz tulikua tunaamini mungu mkuu humuitiiti ovyo ni mwiko lazima upitie malaika zake au mizimu na zamani mungu mkuu tulikua tunapitia kwa farao kama mwakilishi wake

tulikua tunaamini there is life after death bt there was no fire or hell ya kwenda kuchomwa bt kama huku ulikuamkulima utaendelea kua mkulima hata huko heaven

suala la Forojo Ganze kua possessed hamna anayejua kilichomkuta kule ina alijitolea kufa kwani hakuna anayeenda kule akiwa sio msfi kiroho kama nilivyosema juu ilikua mwiko kwenda kumuona mungu mkuu au kulitajataja jina lake ovyo sasa kama hakua amejiandaa au alionekana mapungufu hatujui maana hakuweza kuongea alipotoka

watu wanaita wapagani,wachawi bt they r 2 different things wachawi wanafanya black magick na ni watu wanaodhuru jamii na anayeweza kumanipulate mazingira kufanya miujiza,mpagani ni mtu asiye na dini na mwanga ni mtu wise mwenye uono na wanafanya white magick, (naomba utambue kuna tofauti kati ya magick na magic)ingawa maana ya mwanga ishapotoshwa kwani walipokuja majamaa kutoka ulaya na uarabuni waliwalabel katika kundi moja

mlingotini ni sehemu ipo bagamoyo viongozi wengi wa bongo wanaenda huko kufanikisha mambo yao
 

Very useful post_igwe like this....
 

Hili hapo kwenye blue naliunga mkono kwa nguvu zote mkuu.
 
Duuhh..thanks so much, i ddnt knew that..big up yourself.
 

Unajua haya mambo ya imani za kichawi kweli yapo tangu kale. Ila yameathili negatively karne kwa karne. Mfano hata vita ya majimaji wazee wetu wakikufa sn eti kwa sababu tu walidanganywa na chief kuwa wakitamka neno maji basi lazima watashinda. Matokeo yake wote tunajua. Unagegemeaje uchawi wkt mwenzio aba zana za kisasa za vita?
 

The country name Israel is based on the biblical name of the person of the same name.

On Nyerere, alikuwa anaipa jadi sehemu yake. Alishawahi hata kufukizwa kwa Jumbe Tambaza. Alikuwa anaongelea wazi alivyoheshimu mila, kwenye hotuba zake anaongelea hata "chaka la Wazanaki". Nyerere was a Catholic as a person, he was all encompassing as a statesman. He even made allowamce for the possibility pf having an atheist president.

So I can't blame the man for using sociology to connect with people and show respect for traditions. I just don't understand those who are seeing more in this.

Secretary wa Nyerere Joan Wickens alikuwa atheist, na walipatana sana na Nyerere Mkatoliki. Does that mean Nyerere was an atheist?

To me, no. He was a statesman. And all encompassing.
 
Hivi unakimbizwaga hadi zenji?

mwananthropolojia amesema una kimbizwa ndani ya mipaka ya tanzania!

jibu lako lipo kwenye hili swali.hivi zanzibar ni nchi?kama ni nchi tofauti haufiki
Kaizer Zamaulid mwananthropolojia


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasha Mwenge wa Uhuru Mei 6,2013 katika uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa katika sheiha ya Chokocho, wilaya ya mkoani ,mkoa wa Kusini Pemba. Mwenge utakimbizwa katika halmashauri za wilaya na manispaa 161 za Tanzania .Kijiji cha Chokocho ndipo alipozalia Rais huyo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. (kulia) ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (Tanzania) Mh, Dkt. Fenella Mukangara. (Picha na Mwanakombo Jumaa)
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa angalia hayo maneno vizuri...kwanza umeandika mwenyewe umulike hata nje...hakafu unadanganya akili yako kwa kudondosha neno hata..wadhani utanilaghai?
 
Interesting sana, japo somo la historia nilikuwa kilaza sana.
 

Unakijua chuma kimoja kinaitwa Ng'wana Malundi?...
 

Eehee!!! Hata huko wapo pia akina Forojo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…