Forums gani hapa JF hujawahi kuingia?

Forums gani hapa JF hujawahi kuingia?

Umezidi ukorofi jirani punguza 😂😂😂

Hii ya ufugaji ni kitu napenda nilikuwa nakitafutia muda muafaka, kuna sehemu huko kwa wazaramo nataka nianze.!!
All the best jirani,nitakupigia simu nikupe ushauri zaidi.
 
Nitajua tu nikiamua hata hivyo nina mawazo tofauti hizo vilevi hapana aisee
Hilo ndio litakutoa sasa!!
Wabongo wanapenda kulewa ili kupoza stress
Yuko radhi akope ili alewe, bajeti yenyewe ya serikali inategemea vileo wanajua hawawezi kuacha kulewa.!!
 
Hilo ndio litakutoa sasa!!
Wabongo wanapenda kulewa ili kupoza stress
Yuko radhi akope ili alewe, bajeti yenyewe ya serikali inategemea vileo wanajua hawawezi kuacha kulewa.!!
Alaaah😅
Kuna dogo Mkemia nilifanya nae tukatengeneza vidabo kiki vina radha ya chocolate vijana walilewa sana 🤣🤣🤣🤣
 
Uganda Forum
Rwanda Forum
Kenya Forum
JF Garage
The Lounge
International Forums
English only Forums
Hayo majukwaa sijawahi hata kuyafungua
 
Alaaah😅
Kuna dogo Mkemia nilifanya nae tukatengeneza vidabo kiki vina radha ya chocolate vijana walilewa sana 🤣🤣🤣🤣
Sasa fanya jambo kwa kumaanisha, hapo umekalia pesa ila hutaki kuchukua hatua.!!
Manyanza unafeli wapi? 😂😂😂
 
Sasa fanya jambo kwa kumaanisha, hapo umekalia pesa ila hutaki kuchukua hatua.!!
Manyanza unafeli wapi? 😂😂😂
Tulia Mdau halafu nataka nikupe umeneja🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom