Fotmob haitambui kitu kinaitwa Yanga SC

Umejaribu kuandika utopolo ikashindikana ?
 
Haya mods funga uzi,wamejaa wenyewe,jibu lilikuwa HAKUNA NENO YANGA BALI YOUNG AFRICA,#wenye akili ni wawili tu.
 
Timu ya uchochoroni
 
Naona mnajaa wenyewe mi nmesema haitambui yanga fc,sijasema young africa,najua young africa ipo vzr tu.
Morogoro wilaya ya Kilombero kuna sehemu inaitwa siginali na wengine wanaita Ziginali. Lakini jina hilo limetokana na wazee wazamani kushindwa kutamka neno Signal. Hivyo hivyo kwa Yanga ni kutokana na wazee wazamani kushindwa kutamka Young Africans.
 

unaumwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dar es salaam young africans
 
Kolo we andika Young Africans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…