Nanawa namaji ya moto, najikeep busy na kazi kama niko nyumbani za nyumbani kama niko ofcn za ofcn, na kunywa wine kidogo natafutausingizi nalala ukakasi unaishaUkibanwa na ukakasi huwa unautoaje?
Habari zenu wanajf? hope mu wazima.
Jamani naombeni ushauri wenu kwa hili ninalofanya kama ni sawa au nakosea.
Mimi ni mdada ambaye bado cjaolewa ila nina mchumba ambae anakaa mbali na mimi sababu ya kazi,yani mikoa tofauti.
Kampuni ninayofanya kazi nimetokea kuwa karibu sn na kijana mmoja ambaye pia ni mfanyakazi mwenzangu lakini sio ofisi moja,ukaribu umezidi na hatimaye tumejikuta in love,ukweli ni kwamba naweza kusema huyu kaka anajua kupenda, ananiheshimu and he real know how to care for a woman,kitu ambacho i always dream about,yupo tayari kwa lolote na muda wowote nitakaomhitaji hasa kama nina shida,ukweli ni kwamba tumependana sn utafikiri wote tumekutana tukiwa single,wakati hata yeye ana mpenzi wake ambae pia anaishi mbali na yeye.
Naombeni ushauri wenu kwa hiki ninachofanya,je ni sawa na kama sio sawa nitafanyaje?,ukweli ni kwamba nampenda sana na siko tayari kumpoteza cause he made ma life wonderful,never knew it before.Na ninaomba nieleweke niko na mchumba wangu kwa miaka miwili na nusu sasa na sijawahi kumsaliti kwa mwanaume yoyote zaidi ya huyu.
I wish i could knew him before,cause its like i found a real love when its too late,hata yeye pia ana apprecite sana for this love.
Naombeni ushauri,nitaendelea hivi mpaka lini?
MJ, this lady really surprises me!!! anasema i wish but its too late wakati jamaa hata ndoa bado... probably na jamaa yake is wishing just like her naive mindWhy am not surprised that you have concluded like this!
My advice is you are in for jolly good ride!.........yes enjoy the ride while still can but take note..........there is sharp corner along the way!
Tatizo la wana jf ni kumlaumu mtu huku anahitaji ushauri.....
Halafu hapa kuna kosa pia la mwanaume kumuacha mpenzi wake
akae miaka miwili na nusu bila kumuona,,,,
au nyie hamlioni hilo??????????
The Boss heshima mbele mkuu,
mimi nadhani hujamuelewa Binamu, na sio kama watu wanamuhukumu bali yeye kaleta haoja ambayo tayari keshafanya maamuzi, sasa hapa watu watamshauri nini zaidi ya kumsema ali arudi kwenye mistari, nimekuwekea bandiko lake hapo chini na uchambuzi wangu hebu lipitie tena natumaini una uelewa mzuri tu
Habari zenu wanajf? hope mu wazima.Me: hapa inaonekana hakuna ugomvi wowote na mchumba wake ni mambo ya maisha ndio yamewatenganisha
Jamani naombeni ushauri wenu kwa hili ninalofanya kama ni sawa au nakosea.
causen: "Mimi ni mdada ambaye bado cjaolewa ila nina mchumba ambae anakaa mbali na mimi sababu ya kazi,yani mikoa tofauti."
Causen: "Kampuni ninayofanya kazi nimetokea kuwa karibu sn na kijana mmoja ambaye pia ni mfanyakazi mwenzangu lakini sio ofisi moja,ukaribu umezidi na hatimaye tumejikuta in love,ukweli ni kwamba naweza kusema huyu kaka anajua kupenda, ananiheshimu and he real know how to care for a woman,kitu ambacho i always dream about,
Me: Hapa ndio tatizo lilipoanza, kwanza wapo ofisi tofauti ni ukaribu gani waliokuwa nao na nini walichokiongea mpaka wakaingia kwenye mambo ya mapenzi? sasa hapo kwenye Pink ndio mimi binafsi ninapomlaumu huyo dada, kumbe Pamoja na kuwa na jamaa/Mchumba wake yake lakini still alikuwa hajapata bado lile penzi ambalo alikuwa analiDream, alafu ni amkoasa makubwa kumlinganisha mume/mchumba wako na mtu mwingine, kutokana na maelezo haya huyo mchumba wake hamfai kwa sababu AJUHI kupenda, HaMheshimu and he real DONT know how to care for a woman
cAUSIN: yupo tayari kwa lolote na muda wowote nitakaomhitaji hasa kama nina shida,ukweli ni kwamba tumependana sn utafikiri wote tumekutana tukiwa single,wakati hata yeye ana mpenzi wake ambae pia anaishi mbali na yeye.
ME: Hapa dada yetu anaonyesha tofauti nyingine ya Mchumba wake na huyo jamaa yake mpya, kwamba yeye ni fimbo ya karibu na yupo muda wowote, lakini Causen hajuhi kama amejichanganya mwisho wa maelezo yake "ana mpenzi wake ambae pia anaishi mbali na yeye." kumbe ukaribu wote ni kwa sababu jamaa na mpenzi wake wako mbalimbali
Causen: Naombeni ushauri wenu kwa hiki ninachofanya,je ni sawa na kama sio sawa nitafanyaje?,
Me: kama ungeishia hapa ungeweza kupata ushauri, lakini kwa maelezo yako ya hapa chini
Causen: ukweli ni kwamba nampenda sana na siko tayari kumpoteza cause he made ma life wonderful,never knew it before.
Me: nimepitia maelezo yote ya Causen sijaona hata sehemu moja aliyosema nampenda sana huyo mchumba wake, lakini kinyume ni kuwa anampenda sana huyo jamaa yake mpya na hayuko tayari kumpoteza, kwa maana nyingine yupo tayari kumpoteza yule wa zamani, hii kauli pia inanipa wasiwasi "never knew it before". yaani ameonyehswa dunia mpya (Born again) ambayo mwanzo hakuiona, huo mwanzo ulikuwa ni upi?
Causen: Na ninaomba nieleweke niko na mchumba wangu kwa miaka miwili na nusu sasa na sijawahi kumsaliti kwa mwanaume yoyote zaidi ya huyu.
Me: Hapa nadhani ndio mwanzo wa mwisho wa haya maisha yao ya uchumba, kwa muda wote wa miaka miwili na nusu dada Causen alikuwa hajawahi kupata kuona hii dunia mpya ya huyo "kijana mmoja", hilo la kusema ndio mara yako ya kwanza kusaliti na sababu ya kusaliti ni kuwa mchumba wako yupo mbali na wewe, vipi na huyu jamaa yako wa sasa akiwa mbali na wewe kikazi?
I wish i could knew him before,cause its like i found a real love when its too late,hata yeye pia ana apprecite sana for this love.
Causen: Naombeni ushauri,nitaendelea hivi mpaka lini?
Me: hapo ushauri hakuna na huo uchumba wako hauwezi kuwork out na hata hiyo ndoa yako kama mkioana na huyo mchumba wako haitadumu, na sababu kubwa umesha mdharau kwa kila kitu na mbaya zaidi nadhani ulikuwa unamponda mchumba wako mbele ya "huyo kijana mmoja" na ndipo alipochukulia advertage ya kupretend na kuperform extra ili akuchote.
Na hata kama ukiforce kuolewa ili mradi umeshaonja nje na kuona tofauti, hauwezi kuacha hiyo tabia, nina uhakika utaisaliti ndoa yako na mwisho wa siku ni kuja kuwatesa watoto ambao hawana hatia yoyote
Mimi sijaelewa!
1) Upo in love na nani? (a) mchumbako au huyo wa (b) ofisini?,
2) kama jibu ni (b) je mchumbako humpendi tena?
3) Kama unampenda, unataka kutuambia wewe unaweza kuwapenda several men bila tatizo?
MY TAKE:
Nyie mnajisikia mnapendana kwa sababu wenza wenu wako mbali, na mnapenda kungonoka, wote wawili mnafikishana. Kwasababu sio wachumba wala hamna commitment zozote, mahusiano yenu yana mipaka, kuna mambo ambayo kila mmoja wenu haitaji kuyafanya/kuyafikiria/kuyatolea maamuzi. Mko kwenye buffer zone, au bulwark area rather. Wote mnakutana kwa raha tu! sio shida. Hamuwezi kugombana......mtagombea nini wakati hamna mambo ya msingi ya kugombea? Kitu pekee kinachowaweka pamoja ni Kula dudu kwa bidii!! hakuna jingine.
Hakuna Mapenzi wala ndugu yake mapenzi hapo.
Dada shukuru Mungu hayo majibu yote ,Jamani mimi naona mjadala huishie hapa kama ni ushauri niliotaka nimeupata,na nitaufanyia kazi,manake naona sasa naona ckuomba ushauri tu na kashfa pia. NILIKUWA NA MAANA YANGU KUWEKA HII THREAD HIVI ILI NIONE MNATOAJE USHAURI WENU NA NDO MAANA NLIKUWA CJIBU CHOCHOTE.
Nimegundua kumbe ndo maana watu hawapendi kuandika direct thread inayomuhusu huwa wanatumia watu wengine ndo wanaoomba ushauri,kumbe sababu ni wanajf wenyewe mnakosa ufahamu wa maana ya kumshauri mtu,take a note of this watu watashindwa kuwa huru kuomba ushauri wenu.
Na kwa taarifa yenu wote mlionikashfu ndo mkanipa ushauri,siko mgeni wa haya mambo kiasi hicho mnachofikiria,am gud in this nilitaka kuona tu mawazo yenu.
Conclusion; thanks kwa wote waliotoa ushauri mzuri bila kashfa,special thanks kwa The Boss kwa kuwakumbusha maana ya kuomba ushauri.
Yaani unaomba ushauri halafu unataka watu wakupe ushauri kwa jinsi unavyotaka wewe??????????/!!!!!!!!!!!!!!! Unashangaza kweli binti. Ni lazima uelewe kuwa hata katika hizo kashfa kama kweli zipo unaweza kupata pointi ambazo ni vigumu kuzifukunyua kutoka katika ushauri unaokubembeleza. Kuwa ngangari bwana unataka kubembelezwa kwani kuna mama zako hapa.Jamani mimi naona mjadala huishie hapa kama ni ushauri niliotaka nimeupata,na nitaufanyia kazi,manake naona sasa naona ckuomba ushauri tu na kashfa pia. NILIKUWA NA MAANA YANGU KUWEKA HII THREAD HIVI ILI NIONE MNATOAJE USHAURI WENU NA NDO MAANA NLIKUWA CJIBU CHOCHOTE.